Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wadau mbna nimeweka pesa meridian siioni kwenye account
Thn unatumia ile id au jina maana me nimesajili zamani thn nimesahau jina lakini id naikumbuka
 
maselaaa eenh kazi njema.....mi naacha rasmi hii kazi..... HAiwwzekani mwezi mzima unapotezwa kila siku na timu moja...... unachangia tu watu wanaoshinda........ ila ntakua napitapita humu...... kuchangia hoja na uchambuzi wenye bahati mle......
 
Utaweza mkuu!
 
Wadau mbna nimeweka pesa meridian siioni kwenye account
Thn unatumia ile id au jina maana me nimesajili zamani thn nimesahau jina lakini id naikumbuka
Umesahau jina lako kivipi?

Naenda kwenye taarifa zako ulizojaza utakuta kila kitu

Then meridian inachelewa kuingza hela.

Likizo imeisha naanza Leo rasmi!!
 
VOLENDAN
GUIMARES
EINDHOEN FC
SPEZIA
DUNDEE
MIDSTYLAND
RENNES..... wenye bahati mleee
 
No giving up untill, niwasababishe wajiulize why me kila siku. Big money only
 
Hafu hii mikeka inabidi tuwe tunaiombea kila mtu kwa imani yake.

Hafu hili jukwaa halina madem? Ukute wanaweza kuongeza bahati humu.
 
Ni kweli wale viumbe sometimes wana bahati zao kusema ukweli
 
Hafu hii mikeka inabidi tuwe tunaiombea kila mtu kwa imani yake.

Hafu hili jukwaa halina madem? Ukute wanaweza kuongeza bahati humu.

teh teh, miezi miwili iliyopita kuna mmoja alikuja humu sijui aliishia wapi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…