nawepeni tips za yelow cards over/under 4,
weka over kwa game unayoona itakuwa na ushindani sana, under game nyepesi isyo na ushindani
mfano
liverpool vs chelsea (hii itakuwa na ushindani sana,hii game over 4 yellow cards ni uhakika)
west ham vs aston villa
(itakuwa na ushindani pia sababu aston villa ana matokeo mabovu atakuwa anafosi ajaribu kushinda au kudraw na west ham nao watataka waendelee kushinda)
qpr vs man city
(qpr ni wazuri sana sema wana tatizo tu la kujifunga, watamsumbua sana man city na yellow zinaweza kuwa zaidi ya 4)
option hii ipo hata kwa spain na italy ila ni over/under 5, france ni over/under 4