Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Chelsea
Man utd
Mancity
Southampton
Bayern leverkusen
Nottm forest
Fulham

Pesa hyo
 
game ya chelsea chagueni 3+....nina wasiwasi game kubwa hiziiii
 
nawepeni tips za yelow cards over/under 4,

weka over kwa game unayoona itakuwa na ushindani sana, under game nyepesi isyo na ushindani

mfano

liverpool vs chelsea (hii itakuwa na ushindani sana,hii game over 4 yellow cards ni uhakika)

west ham vs aston villa
(itakuwa na ushindani pia sababu aston villa ana matokeo mabovu atakuwa anafosi ajaribu kushinda au kudraw na west ham nao watataka waendelee kushinda)

qpr vs man city
(qpr ni wazuri sana sema wana tatizo tu la kujifunga, watamsumbua sana man city na yellow zinaweza kuwa zaidi ya 4)

option hii ipo hata kwa spain na italy ila ni over/under 5, france ni over/under 4
 
hi option ni nzuri kwa ligi ya italy na spain
 
Mimi leo ni Chelsea na Man City. Kwishs habari, namwomba Mungu aulinde huu mkeka mdogo.
 
mkeka.PNGmkeka wa leo luksa kujilipua but not acumulating hahahaa
 
Naombeni mnieleweshe kuhusu odd, even , over na under jamani
 
Back
Top Bottom