Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

C.E.O vipi mkuu, hali ni ya hatari sana.

Mtoto wa nzi vipi kwako?

mi bado mikeka inasurvive ila sevila kaniaribia wa kwnza ikabidi nijiulize kwa lyon,chievo na wolfbug.. Sahivi najiandaa kuweka mwingne wa valencia,dotmund na roma
 
Last edited by a moderator:
mi bado mikeka inasurvive ila sevila kaniaribia wa kwnza ikabidi nijiulize kwa lyon,chievo na wolfbug.. Sahivi najiandaa kuweka mwingne wa valencia,dotmund na roma
Mkuu saiv mimi final result nimeiacha kidogo saiv najaribu goals 2+ japo ina faida kidogo
 
hobro vs broendby final result hobro win kwa watu wa live in play halafu pamoja na genk vs st.liege draw or both team to score
 
lyon,gateshead,juve,roma wolfsburg,porto salzburg(over 2.5) na diasgyor .nasubiri hizo team 4 zilizobaki
 
hobro ananipatia 46500 hapa dakika ya 66 hii 2-0 nilibetia wakati ana odds 4.65 live in play hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…