HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Nimejaribu kuregister imeshindikana kwa sababu kuna charge, vipi unaweza kuona tips bila malipo kweli? Na kuhusu kulipa ni ipi njia rahisi ya kulipa.
Mimi natumia account ya rafiki yangu fulani. Nitakuwa naweka mikeka kama ilivyo kutoka huko footballacca.
Kujiunga jamaa alitumia paypal kuweka hiyo annual fee ya 9.9 pounds