Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kesho tenaaa
 

Attachments

  • 1415742883432.jpg
    1415742883432.jpg
    25.9 KB · Views: 127
Wazee wenzangu leteni mrejesho! Mi nimechemsha game moja kati ya zile walizo recommend wale jamaa.

Ila accuracy yao sio mbaya sana.
 
Nitaweka za leo ikifika saa Tisa na Usiku nitaeka maana wanaweka mara mbili kwa siku.
Walikosea kwenye game ya under
 
uhakika nijilipue? Vp under nayo

game ya lakers sawa under coz katika game zao 5 zilizopita moja tu wamefikia hizo point.... ila milwaukee bana hatihati kuwa under..... h2h zao tano zilizopita mbili wamefikisha 186 na 184 ukicheki hapo ni mtupo mmoja wa 3 point wanafika.... game 2 wamevuka kabisaaa wamefika 208 na 218 ....ni game moja tu ndio walikuwa chini kabisa walipata 178.... sooo pima upepo wao wa karibuni....


Kamali jamani iacheni tu,

Milwaukee 85 - OKC 78

Lakers 102 - Memphis 107:

Umdhaniae ndiye kumbe siye!
 
Mi nna moyo wa mshumaa
Kwa wale wa football nimewapa mbinu
Moja wapo ya zile nizitumiazo.....
♢1♢ unaweka mzigo kwenye
GG first half
 

Attachments

  • 1415777918793.jpg
    1415777918793.jpg
    51.6 KB · Views: 96
♢2♢ kisha unakuja unaweka mpunga
Kwenye GG second half
Hakikisha unabalance pesa ili kuleta faida sawa
 

Attachments

  • 1415778104210.jpg
    1415778104210.jpg
    52.6 KB · Views: 91
Makesure unachagua timu
Na pia unaifwatilia timu matokeo
Zake kwenye michezo iliyo pita
Na matoke za mtu anaye cheza nae
Na H2H walizokutana
ndio ubet hii sio bahati ni akili
Kwa vyovyote vile kama wanafungana kipindi cha kwanza or cha pili
We utapata faida mara mbili ya hela uliyo tumia kubet
Kesho nitawapa nyingine
BETTING NI AKILI NA SIO BAHATI
 
Panasomeka kama ukipasoma na kuacha papara za kutamani
Tusibeti kwa tamaa ya point na pesa ndefu
Tutumie akili......na ushirikiano na sio kutegea flani akitoa tip zake na wewe uangukie huko
Tushirikiane kumla huyu muhindi na tuache pang'ang'a mingi na kuoneana wivu
Umoja ni Nguvu
Kwa hawa wanaomiliki betting companies ni mama zetu
Tuacheni Ubinafsi na kutegeana
Mbona wazungu hawapo kama sisi
Wanashirikiana kwenye ma websites
 
TUMIA AKILI KUPATA KILE UTAKACHO
MALENGO YAKO UTAYAPATA KWA AKILI
UTAJIRI SIO BAHATI NI AKILI
MAFANIKIO YEYOTE NI AKILI
weka hilo kichwani
Hili jambo la msingi sana hivi vitu vinahitaji akili wengi wetu tunakurupuka tu.
 
Panasomeka kama ukipasoma na kuacha papara za kutamani
Tusibeti kwa tamaa ya point na pesa ndefu
Tutumie akili......na ushirikiano na sio kutegea flani akitoa tip zake na wewe uangukie huko
Tushirikiane kumla huyu muhindi na tuache pang'ang'a mingi na kuoneana wivu
Umoja ni Nguvu
Kwa hawa wanaomiliki betting companies ni mama zetu
Tuacheni Ubinafsi na kutegeana
Mbona wazungu hawapo kama sisi
Wanashirikiana kwenye ma websites

well said
 
Back
Top Bottom