MILCAH28
JF-Expert Member
- Jul 9, 2014
- 1,140
- 327
Nitaweka za leo ikifika saa Tisa na Usiku nitaeka maana wanaweka mara mbili kwa siku.
Walikosea kwenye game ya under
Mbona kimyaaa kaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitaweka za leo ikifika saa Tisa na Usiku nitaeka maana wanaweka mara mbili kwa siku.
Walikosea kwenye game ya under
Mbona kimyaaa kaka
ACHA AJIHAKIKISHIE KWANZA..... kuna olbg.com...soccerfame.com..scibet.com...statarea.com...soccerpunter.com... wakimpa mtu zaidi ya 65% ni uhakika..... ila ndio vile hata accasa mmeona nae kavurugwa jana..... hii kitu bana na RISK AT UR OWN DECISIVENESS..... .... jaribu kupitia hizo sites .....peruzi predictions zao last week or month....jiriISHE....afu njoo utupe feedback....ADUI YETU MMOJA.....
Haaaaa haaaaaa😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 umenifurahisha Sana'a. .lol. Hizo site mweeeeew..naijua statarea tu hapo
JOMBAAA .....MPAKA NAWEKA TIMU...NIMEZUNGUKA HATARI....pitia pia windrawwin.com.... bettingtips1×2.com...zulubet.com....soccervista.com.... sofascore.com....forza.com...... nkipita kote huko.... yule waliempA WOTE USHINDI MKUBWA NACHAGUA WA4-6....still nauliwa na timu moja...... SASA NIMEWAPA TOP 15 SOCCER PREDICTORSA N TIPSTERS...... WAPITIENIIIII...... wakikapu mpoooooo......niwape nanyi....ADUI YETU MMOJA
Ulikuwa wapi kaka..
- 45pts @ 2.06/1 on Brasil To Win (International Friendly 18:30), Cienciano Win or Draw (Peru 16:00), Dynamo Kiev U19 Ht/Ft (Ukraine Youth League 12:00)
- 45pts @ 2.37/1 on Coleraine reserves to Win (Northern Ireland 19:45), Sheff United Win or Draw, & Kidderminster to Win Either Half
Hapo dynamo sijaelewa
Nimebet meridian leo usiku huu sasa risiti sizioni na hela wamekata... tatizo nini??