Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Deo najaribu kuingia inakataa .. sasa sijui ni kwann haisupport

Natumia

HUAEI Y 300.

OPERA NA PIA MOZILA IMEGOMA .

Inaniletea kitu cha namna hii ..
 
Attachments

  • 1415871583831.jpg
    1415871583831.jpg
    16.6 KB · Views: 83
Deo najaribu kuingia inakataa .. sasa sijui ni kwann haisupport

Natumia

HUAEI Y 300.

OPERA NA PIA MOZILA IMEGOMA .

mkuu mi natumia huawei p6 nilikumbwa na hilo tatizo hata application yake kwenye playstore ilikua haifanyi kazi

soln hapo niliupgrade android os v 4.2.2 kwenda kitkat v4.4.2...inapiga kazi fresh kabisa...jaribu kuangalia www.huaweinews.com kama kuna os mpya ya y300..
 
meridian wajinga sana nimeweka pesa kwa M-Pesa tokea jana hawajaiweka kwenye account yangu hadi sasa. Nimewapigia mara mbili wananipa dakika tano sasa hivi simu zao zote hazipatikani pesa yangu rakini tunavyosumbuana wabongo bwana
 
Yaaani Usitumie mpesa kuweka pesa inasumbua mpaka uwapigie kelele bora ukawekee kwenye vitawi vyao......
 
mmmh mbona mnaniogopesha tena ...mm ni mgeni na mda si mfupi nimefanikiwa kupata account na niko kwenye preocessza kuweka hella , hapa nilipo niko kwnye kibanda cha mpessa nangoja pesaa iingie kwenye account na kisha niweke kwe meridia .... na huku niliko hakuna kabisa wakala yeyote wa betting yeyote...ni vyema kuacha au
 
Tatizo n kwamba ukiweka pesa meridian huwa inachukua mda mref had kuingia kwenye account. Ila kama wataka kuweka kwa ajil ya gem za weekend c mbaya waweza weka.
 
Mbona no masaa mawili tu inaingiaaa...upo wapi kaka...
 
mmmh mbona mnaniogopesha tena ...mm ni mgeni na mda si mfupi nimefanikiwa kupata account na niko kwenye preocessza kuweka hella , hapa nilipo niko kwnye kibanda cha mpessa nangoja pesaa iingie kwenye account na kisha niweke kwe meridia .... na huku niliko hakuna kabisa wakala yeyote wa betting yeyote...ni vyema kuacha au

Inaingiaaa baada ya Massa mawili
 
Wadau nimweka pesa meridian cku ya tatu hii haisomi na sms nlishafuta
 
Wale wa basket; Dallas vs Phill Half 1 handicap -7.5 Dal win, odd ni 1.91.

Memphis vs Sacramento kings; Memphis win, odd 1.4.

GSW vs NY Nets: GSW win, odd ni 1.24.

Hizi game mi najilipua jamani, Mtoto wa nzi, Rockcity native (C.E.O) na wengineo tujumuike hapa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom