mathematics
JF-Expert Member
- Feb 21, 2012
- 3,322
- 1,110
zero bet una assume matokeao ni 0-0 hata kama mmoja ameshinda 2-0 au 2-1 au vyovyote vile,wazee wenzangu option ya zero bet 1 half unaangalia nn ili upuige pesa,msaada tafadhali
atakayepata goli baada ya zero bet yako anakuwa ni winner , au apate magoli mengi zaid ya mwingine wakati umeweka hiyo zero bet.
game ikiisha hivyo hivyo inakuwa zero bet drwa, au wote wakipata idadi sawa ya magoli, inakuwa ni zero bet drwa.