Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,416
- 12,618
lakers eti leo wamefikisha 200....duh.....
Kobe anasumbua sana, ndio chanzo cha yote haya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
lakers eti leo wamefikisha 200....duh.....
Panasomeka kama ukipasoma na kuacha papara za kutamani
Tusibeti kwa tamaa ya point na pesa ndefu
Tutumie akili......na ushirikiano na sio kutegea flani akitoa tip zake na wewe uangukie huko
Tushirikiane kumla huyu muhindi na tuache pang'ang'a mingi na kuoneana wivu
Umoja ni Nguvu
Kwa hawa wanaomiliki betting companies ni mama zetu
Tuacheni Ubinafsi na kutegeana
Mbona wazungu hawapo kama sisi
Wanashirikiana kwenye ma websites
TUMIA AKILI KUPATA KILE UTAKACHO
MALENGO YAKO UTAYAPATA KWA AKILI
UTAJIRI SIO BAHATI NI AKILI
MAFANIKIO YEYOTE NI AKILI
weka hilo kichwani
Makesure unachagua timu
Na pia unaifwatilia timu matokeo
Zake kwenye michezo iliyo pita
Na matoke za mtu anaye cheza nae
Na H2H walizokutana
ndio ubet hii sio bahati ni akili
Kwa vyovyote vile kama wanafungana kipindi cha kwanza or cha pili
We utapata faida mara mbili ya hela uliyo tumia kubet
Kesho nitawapa nyingine
BETTING NI AKILI NA SIO BAHATI
♢2♢ kisha unakuja unaweka mpunga
Kwenye GG second half
Hakikisha unabalance pesa ili kuleta faida sawa
Hebu ngoja nifatane na wewe, nikila nakurushia vocha.
Raimundo naomba hela ya vochaaaaaaaaaaaaaaaaa
Game imeisha 3-2
😀😀😀😀 hahaha nimepata 196000 faida
Sasa wewe ulisoma nini sasa na ukasema unanifwata
GG 1st half 4.8 bet 90000=432000
GG 2nd half 3.6 bet 110000=396000
Ikatoa GG 2ND HALF FAIDA IKAWA 196
sasa Raimundo ulikataa tamaa na hukuelewa tip
😀😀😀😀 hahaha nimepata 196000 faida
Sasa wewe ulisoma nini sasa na ukasema unanifwata
GG 1st half 4.8 bet 90000=432000
GG 2nd half 3.6 bet 110000=396000
Ikatoa GG 2ND HALF FAIDA IKAWA 196
sasa Raimundo ulikataa tamaa na hukuelewa tip
😀😀😀😀 hahaha nimepata 196000 faida
Sasa wewe ulisoma nini sasa na ukasema unanifwata
GG 1st half 4.8 bet 90000=432000
GG 2nd half 3.6 bet 110000=396000
Ikatoa GG 2ND HALF FAIDA IKAWA 196
sasa Raimundo ulikataa tamaa na hukuelewa tip
Tip nliitoa ya mfano wa kiwango ambacho everyone can aford .....
Raimundo akadai ananifwata mwishowe akakimbia
Sasa hii ni bet
Na tokea nimeanza kubet style hiyo nimesha kula more than ten times kuliwa mara moja.....first day
😀😀😀😀 hahaha nimepata 196000 faida
Sasa wewe ulisoma nini sasa na ukasema unanifwata
GG 1st half 4.8 bet 90000=432000
GG 2nd half 3.6 bet 110000=396000
Ikatoa GG 2ND HALF FAIDA IKAWA 196
sasa Raimundo ulikataa tamaa na hukuelewa tip
Ni plan na tena day one ilikuwa game ya
Chelsea v Arsenal 2-0