Nelson Kileo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,053
- 3,259
Hiyo HP ni kutokana na hela ya kubet 1.4m
Aisee tabidi uwe unaweka mikeka yako hapa... tucopy
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo HP ni kutokana na hela ya kubet 1.4m
leo under na over hautupii?
Mkuu hapo umekosea ESTONIA alishinda dakka ya 24 ya mchezo na ft ikabaki ni hilohilo goli moja kwaiyo kama ulimpa zero bet baada ya hilo goli iwe ni 1st or fulltm ni kwamba ulikosa na sio vinginevyo.Nafikiri tumeelewana.SAM PIZZO:
ESTONIA nlimpa zer bet 1 half sikuona payout,nikampa pia zero bet full time naona loser ticket tu,leo pia nimempa wuerzburger kickers zero bet 1 half ni loser ticket
1.Njia ya kwanza.
>nafungua operamini
> nafungua "Google"
> nasearch Meridianbet.co.tz.
>Naclick result
> inaload but inaishia kwnye black .
2. Njia ya pili ..
> naandika direct " www.meridian.co.tz.
> inakuja the same result.
3. Njia ya tatu
> naandika " meridia.co.tz bila kuweka "bet"
4. Njia ya nne .
> narudia njia ya kwanza mpaka ya tatu kwa browser nyingine .
Na matokeo yanakua kama hivii
Mkuu najifikilia kuwapa uruguay na costarica IGG na IIGG
Deo najaribu kuingia inakataa .. sasa sijui ni kwann haisupport
Natumia
HUAEI Y 300.
OPERA NA PIA MOZILA IMEGOMA .
jamn km huna pc. Na unataka ku bet online tumia google chrome na sio opera min.
kuna baidu browser..uc browser...dolphine rowser...... Zote ziko fasta ajabu..... Union berln manina sana...... Haaaahaaaaaa memphis kavuka mpaka 210 duh.....
Meridian wamenipga mpk sina hamu duuuuh
Oya kwa huawei tumia google chrome itakubali
Jamn km huna pc. Na unataka ku bet online tumia google chrome na sio opera min.
Yaani hii hela ya Mapemaaaa , saa Tisa na mzigo wangu .. hawa Voda sasa ndio wanachelewesha kuniwekea hela .
Vp imekubali???