Wadau mi kuna hii ishu ya fixed matches. Kuna mzungu wa albania alinirushia tip ila skutia maanan nkaweka 1000. Sasa kanipromise kunrushia nyingine alafu paymet after. Ikitick ntarejea na feedback
SHIRIKISHA AKILI YAKO KATIKA KUHITAJI MAFANIKIO
usiwe kama nyumbu kukimbilia wenzio wanako kimbilia.....?
TUMIA AKILI KUPATA UTAKACHO
Inakuwaje hiyo mkuu
Wadau mi kuna hii ishu ya fixed matches. Kuna mzungu wa albania alinirushia tip ila skutia maanan nkaweka 1000. Sasa kanipromise kunrushia nyingine alafu paymet after. Ikitick ntarejea na feedback
meridian watakufungia account hahahah
Wengi wanasema upay before utumiwe prediction. Huyu ninaemjarib unapay after....
Wengi wanasema upay before utumiwe prediction. Huyu ninaemjarib unapay after....
Yaaani basketball inaonekana inapesa sana
Ila kwa tricks na ukiwa na mtaji mkubwa.....
Nije na proof kabisa...ntakuja na mail ya kabla ya match na screenshot ya ticket ntakayotoa pamoja na hela ntakayokuwa nmekula
fanya hivyo mkuu . haya makampuni yanatula ela kila siku kumbe wanayajua matokeo bwana. ndio maana kwenye haya makampuni ya betting ukiwa mfanyakazi wa pale hurusiwi kucheza .