Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu leo nmechanganikiwa asee...nmepishana na hela hv hv pitien matokea wenyewe mjioneee
YEAH MKUUU....mpaka nksema niende likizo mpaka january nilimaanisha.....betting iliniingizia 12MILLS........ NNA MIEZI SIJADEPOSIT ACCOUNT YANGU MERIDIAN..... NDIO MAANA NASHANGAA WATU WIKI PESA HAIJAINGIA..... MKURANGA KULE KISEMVULE...NNA KIWANJA....MWANZA NNAPOFANYIA KAZI ..NNA VIWANJA VIWILI.... NIMETOA...MAHALI.... 2MILLS.... NIMEJISOMESHA MASTERZ.... 6MILLS TWO YEARS....... SASA NATAKA KUJENGA NA KUOA NDIO NAPIGWA ZA USO HATARI..... MJOMBA.... BETTING NI PESA UKITULIA....... PITIA "POST NAZOWEKA ...AU TIMU NAZOWEKA...SIKU ZOTE NAULIWA NA TIMU MOJA"....kipindi cha nyuma nilikua sijui hii THREAD.......tangu niifahamu....nitoe opinion zangu...SIJAWAHI KULA......HUWEZI AMINI....
Mi nilishtukia hili jambo kitambo
Ukitoa tip humu ndani kabla ya game kuanza
90% lazima unaliwa 10% utakula
Sasa huwa nafanyaga ku post tip
Alaf nabadilisha pesa... nliyo weka kubet kama ni timu moja
Kama ilikuwa 50000 nafanya 79999
Kama ni timu zaidi ya moja napunguza moja wapo
Vilaza wengi humu
Huwa na vijicho vya punda
Dah, we jamaa una maneno ya shombo sana. Wewe kama una akili sidhani kama ni sawa kuwa address wenzio vilaza.
Humu hulazimishwi kuingia wala kutoa tip kama unaona panakuzingua, piga kimya tu.
Mtoto wa nzi katoa solution ya wapi unaweza pata tips na timu, ni jukumu letu sote kwenda huko pia ili tuweze kujadili machaguo wote kwa pamoja, nafikiri hiyo itasaidia.
Wewe kila ukiweka tip inafatana na kashfa, maneno maneno ya kiswahili swahili, mara watu wasicopy na kupaste, sasa maana ya wewe kuweka tip ni nini?
Badilika kaka.

Sio kubadili KA
Nikisema vilaza simaanishi wote
Hebu angalia hapa wanaview watu wangapi per day
Je wanapost wangapi
Alaf ukienda kwenye kumbi za kubet ia wana sema angalia jamiifo kuna maboya wanatoaga tip
NA NDIO MAANA HUWA NAWAITA VILAZA tena kuna mwingine alinisema hapo kwa hapo tukiwa meridian
Na kusema kuna ------ mmoja anaitwa dragon JF anatoaga tip za kisenge ya kwa wenye hela tuu
Na ndio maana nikitoa tip
NASEMAGA TUMIA AKILI...
Sio u-copy n paste mi ni binadamu nakosea na mi nikiweka 50000 we unaweza ukatumia akili kubalance

Sasa hao ndio vilaza nao wasemea hawashiriki humu
Wala nini kazi yao ni kuview post
Kuna watu ni wajinga sana afu huwa sipendi mtu anajikuza anajiona mjanja afu kibaya zaidi watu wanao lopoka matusi yaani nakereka sana. Sijui utamaduni gani huu mtu hata kama humjui au kakukosea huwezi wasilisha hoja yako bila kumkashifu au kumtukanajuzi kati nilikuwa dar likizo.... .nkaenda pale kimara mwisho wanaofisi zao meridian..... dah..... jamaa likankashifu bila kunijua nipo ndani ya nyumba...... KUNA BOYA MOJA LINAJIITA MTOTO WA NZI....JAMAA NI NYOKO SANA....ANALENGA KISENGE..... KILA SIKU LINALALAMIKA LINAULIWA NA TIMU MOJA..... MI NALIVIZIA LIKITUPIA MKEKA....NANYOFOA MBILI ZA MAANA NAWEKA MZIGO.... ANAWALA SANA PALE KIMARA....... nkajisemea tu moyoni HEWALAAAAA........
KKuwakomesha itabidi hizi tip watu tuwe tunatupiana kwenye PM huku kwenye post ni analysis tuYaaani watu huwa wanatudis na kutusemea vibaya.....na wakati wanasubiri tupost