Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo


Mi nilishtukia hili jambo kitambo
Ukitoa tip humu ndani kabla ya game kuanza
90% lazima unaliwa 10% utakula
Sasa huwa nafanyaga ku post tip
Alaf nabadilisha pesa... nliyo weka kubet kama ni timu moja
Kama ilikuwa 50000 nafanya 79999
Kama ni timu zaidi ya moja napunguza moja wapo
Vilaza wengi humu
Huwa na vijicho vya punda
 

Dah, we jamaa una maneno ya shombo sana. Wewe kama una akili sidhani kama ni sawa kuwa address wenzio vilaza.

Humu hulazimishwi kuingia wala kutoa tip kama unaona panakuzingua, piga kimya tu.

Mtoto wa nzi katoa solution ya wapi unaweza pata tips na timu, ni jukumu letu sote kwenda huko pia ili tuweze kujadili machaguo wote kwa pamoja, nafikiri hiyo itasaidia.

Wewe kila ukiweka tip inafatana na kashfa, maneno maneno ya kiswahili swahili, mara watu wasicopy na kupaste, sasa maana ya wewe kuweka tip ni nini?

Badilika kaka.
 
Last edited by a moderator:

kweli lakini jamaa anatuponda kweli, yani kila siku, sio poa bhana,
 

Sio kubadili KA
Nikisema vilaza simaanishi wote
Hebu angalia hapa wanaview watu wangapi per day
Je wanapost wangapi
Alaf ukienda kwenye kumbi za kubet ia wana sema angalia jamiifo kuna maboya wanatoaga tip

NA NDIO MAANA HUWA NAWAITA VILAZA tena kuna mwingine alinisema hapo kwa hapo tukiwa meridian
Na kusema kuna ------ mmoja anaitwa dragon JF anatoaga tip za kisenge ya kwa wenye hela tuu
Na ndio maana nikitoa tip
NASEMAGA TUMIA AKILI...
Sio u-copy n paste mi ni binadamu nakosea na mi nikiweka 50000 we unaweza ukatumia akili kubalance
 
Last edited by a moderator:
Wakuu mimi naona kubeti magoli ni rahisi zaidi kuliko kubet nani atashinda, kwa mfano kubet hizi possibilities za 0-2 na 0ver 2.5 ni rahisi zaidi kuliko kusema nani atashinda.
 

Utetezi umekubaliwa boss. Twende kazi.
 
Yaaani jana nimepigwa kama 210000
Mpaka naona ma-ruwe-ruwe kubet leo......
bado nikachelewa kubet game ya centaral coast na malbourne city
 

juzi kati nilikuwa dar likizo.... .nkaenda pale kimara mwisho wanaofisi zao meridian..... dah..... jamaa likankashifu bila kunijua nipo ndani ya nyumba...... KUNA BOYA MOJA LINAJIITA MTOTO WA NZI....JAMAA NI NYOKO SANA....ANALENGA KISENGE..... KILA SIKU LINALALAMIKA LINAULIWA NA TIMU MOJA..... MI NALIVIZIA LIKITUPIA MKEKA....NANYOFOA MBILI ZA MAANA NAWEKA MZIGO.... ANAWALA SANA PALE KIMARA....... nkajisemea tu moyoni HEWALAAAAA........
 
Sasa hao ndio vilaza nao wasemea hawashiriki humu
Wala nini kazi yao ni kuview post
 

Nimekupata mkuu.
 
Baada ya kuuwawa kwa hii wiki, sasa nimerudi. Makosa mdogo madogo ya kuamini timu kama France, Sweden zimenirudisha nyuma kwa asilimia 100. Ila kama kawaida tutapanda tena kama kawaida.
 
Sasa hao ndio vilaza nao wasemea hawashiriki humu
Wala nini kazi yao ni kuview post

sasa ungekuwa specific ndugu unamaanisha akina nani,,.. mimi personally nilikuwa offended..,, lakini yashapita tupige kazi..
 
Kuna watu ni wajinga sana afu huwa sipendi mtu anajikuza anajiona mjanja afu kibaya zaidi watu wanao lopoka matusi yaani nakereka sana. Sijui utamaduni gani huu mtu hata kama humjui au kakukosea huwezi wasilisha hoja yako bila kumkashifu au kumtukana
 
Yaaani watu huwa wanatudis na kutusemea vibaya.....na wakati wanasubiri tupost
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…