danmarc
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 567
- 115
Hockey Ni dakika 60 mkuu na iko vizuri sana usipokuwa na tamaaUnacheza inplay or ..
Mmh hiyo Ice Hockey hata sijui huwa ni dakika ngapi full time ... s tht 90' or .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hockey Ni dakika 60 mkuu na iko vizuri sana usipokuwa na tamaaUnacheza inplay or ..
Mmh hiyo Ice Hockey hata sijui huwa ni dakika ngapi full time ... s tht 90' or .
Hockey Ni dakika 60 mkuu na iko vizuri sana usipokuwa na tamaa
daaa nimiamini ndo imeniua lakini nimerudisha hela yangu kwa live play ya hockey timu za czech kuleUmeyaona matokeo ya Avellino mpaka sasa?
live play huwa nacheza mkuu..Unacheza inplay or ..
Mmh hiyo Ice Hockey hata sijui huwa ni dakika ngapi full time ... s tht 90' or .
Unaamanisha kufuata Odds ndogo...nadhani huko ndiko kutokua na tamaa unapokuzungumzia .
Kwa sababu si rahisi kuzijua hiz timu kiundani zaidi ya kufuata odds . !
Unacheza inplay or ..
Mmh hiyo Ice Hockey hata sijui huwa ni dakika ngapi full time ... s tht 90' or .
Belgium 0-0 Wales X2 imetoka
Mlionidharau na mapicha yangu (screen shots ) mkakimbilia avelino
3.45 × 40000 = 138000
Mpaka natamani niwaonyeshe huu mkeka
hongera umerudisha za jana
Game ya italy nimejilipua IGG na IIGG.
safi mkuu naona I GG imetiki.
Ila uoga ni upumbavu
Nimeenda na laki na ishiri
Hw2 Netherlands
Hw2 Cyprus niweke 40000
Alaf X2 bel v wales 80000
Nikageuza mawazo baada ya kuzifikiria ni timu za taifa
Nikaweka nusu nusu kila mahali nikabaki na 60000 mfukoni kube saiz ningekuwa nawaza note kesho asubuhi
Game ya italy nimejilipua IGG na IIGG.