Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Namwendea Muhindi chimbo! Nitarudi weekend na possibles za kufa mtu, atakayenifata ajue amefata asali.

Asante sana Mtoto wa nzi, napita site moja moja na naziona na zingine zenye matokeo atleast 80-90% correct kwa miezi 6 nyuma.

Mfano jana kulikuwa na Israel win, Czec win na zilikuwa na total odd 4, nikasikilizia sikuzicheza ila zilijibu fresh.

Sasa hapa ntakuwa kila siku nachagua timu mbili mbili na kuangalia accuracy ya hizo site, nikijiridhisha kwa siku kama 4 au 5 ndo natupia mzigo wa ukweli.

Hii mbinu ikishindwa naacha hii business.

Muhindi ajipange!

HatARI SANA....... tunasubiri
 
JAMANI, humu kuna wasomi na wana sheria wazuri tu, iki kitu naona mnakipuuzia, kuna siku mtu atakula million mia then atapewa buku mbili, kwanii?
zamani uki-submit tiketi Meridian inaandika ticket submitted ila siku hizi wanaandika ticket submitted with terms and conditions. ebu tujiulizeni vizuri kwanza, huu niwizi wakisomi tusipokua wajanja.....
Mtoto wa nzi Rockcity native xyz123 @Dragondreamx

Hiii ni kwamba ume-bet ukiwa na akili timamu na unaelewa ulicho bet.... kwa hiyo ukikosea ni shauri lako NO ONE WILL BE RESPONSIBLE
So bet kwa umakini
 
Last edited by a moderator:
Kesho najilipua kwa brazil nampa pesa ndefu.

Game ya spain na ujeruman pia lazima wafungane.
 
JAMANI, humu kuna wasomi na wana sheria wazuri tu, iki kitu naona mnakipuuzia, kuna siku mtu atakula million mia then atapewa buku mbili, kwanii?
zamani uki-submit tiketi Meridian inaandika ticket submitted ila siku hizi wanaandika ticket submitted with terms and conditions. ebu tujiulizeni vizuri kwanza, huu niwizi wakisomi tusipokua wajanja.....
Mtoto wa nzi Rockcity native xyz123 @Dragondreamx
 
Last edited by a moderator:
JAMANI, humu kuna wasomi na wana sheria wazuri tu, iki kitu naona mnakipuuzia, kuna siku mtu atakula million mia then atapewa buku mbili, kwanii?
zamani uki-submit tiketi Meridian inaandika ticket submitted ila siku hizi wanaandika ticket submitted with terms and conditions. ebu tujiulizeni vizuri kwanza, huu niwizi wakisomi tusipokua wajanja.....
Mtoto wa nzi Rockcity native xyz123 @Dragondreamx

Hiyo kitu nimeiona na nimejaribu kujiuliza maana yake bila majibu, afadhali umeileta kama kuna wadau watusaidie kufafanua.
 
Last edited by a moderator:
Hiyo kitu nimeiona na nimejaribu kujiuliza maana yake bila majibu, afadhali umeileta kama kuna wadau watusaidie kufafanua.

mkuu hapa inabidi tupate ufafanuzi mapema wa hii statement, kama ni terms and conditions huwa unatakiwa kuzisoma kabla ya kujoin, lakini sasa hivi kila ukifanya betting wanaleta, kuna siku mtu atalia sana humu ndani.
 
Hata zile terms na conditions ukizisoma vizuri wanakwepa sana liabilities.
 
Mkeka mmoja hautakiwi kuzidi m5.

Kama umepata points 60 na unaweka laki INA maana inabidi update m6 ila utapata m5 tu.

Terms zingne sizijui
 
nyingine ni kuzidisha timu...mkeka meridian hautakiwi kuzidi timu 22.... dau la chini ni 100 kwa football...ukicheza virtual games horse racing na football dau la chini 500 .... mbwa dau la chini 1000.... mkeka mmoja possible win highest ni 5M .... pitia pale kwenye terms n conditions kuna kila kitu..... kama haujavunja sharti lolote kuhusu mchezo husika imekula kwako...mfano mzuri cap zao ni hatari sana..... niliwapa siku bournmouth na kitu kama wigan .... nkampa wigan asipigwe cap +1 ... wakatoka bila bila (NKALIWA) eti hata wigan hajapata goli wakati premier hapo umekula..... leo nimewapa wale serbia u19....28+ wamemaliza bila bila ..nimeliwa..... kila
chezo una kanuni zake....kudhulumiwa hauwezi.....ila ukiwa umekosea imekula pande yako
 
Kwa wale wanaopenda ku bet magoli
ligi ya india inafaa sana kwa 0-2 nmefatatilia kwa mda sasa.
Ila na ww waweza fanya utafiti wako pia.
 
Back
Top Bottom