Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu business Mpaka India???? Dah

Last week niliwapa Mumbai FC 28+ walikuwa wanacheza na timu anayokipiga Anelka wakatoa 0-0 nikaliwa. Leo tena nimeona wametoa 0-0, next time nawapa 0-2 nione.
 
Hiii ni kwamba ume-bet ukiwa na akili timamu na unaelewa ulicho bet.... kwa hiyo ukikosea ni shauri lako NO ONE WILL BE RESPONSIBLE
So bet kwa umakini

Mh! Kama ulipitia vizuri vigezo namashart yao utagundua kwamba wanao uwezo wa kukataa tiketi yako bila sababu na bila kukushirikisha. Pia wanadai tiketi moja ikiwa ina influence tiketi nyingine (win ticket) wanao uweza wa kuikataa pia. Ngoja nizisome upya huenda sikuwaelewa wakati najiunga.
 
Mhindi anaroga *****.... 270000 ileeee imepotelea kwa denmark..... England kafika na bulgarie kafika dah......lakuvunda halina ubani
 

Attachments

  • 2014-11-17--23_46_21.jpg
    15.4 KB · Views: 94
  • 2014-11-17--23_47_25.jpg
    16.5 KB · Views: 88
Kuna sheria moja inasema if a bet may influence other winning ticket meridian reserves a power to void a bet......aseee hiii kwa tunaotoa tip humu inakuaje zikigongana ticket 5 ...zote malaki huko.....si wanaweza kuzi invalidate hawa jamaaa...... Sheria siko vizuri.....
 
sure bet ya kesho sijui leo, 18.11.2014

Belarus vs Mexico , Mexico win odd 1.67 ,

weka hata milioni 2, Mexico lazima ashinde
 

je kama nacheza tiketi 2 zinazofanana yani natafuta milinoni 10, wao si mwisho milioni 5 kwa tiketi moja???!!!
 
je kama nacheza tiketi 2 zinazofanana yani natafuta milinoni 10, wao si mwisho milioni 5 kwa tiketi moja???!!!

Bet ni moja tu kwa kila ticket, ukibet 2 zinazofanana sheria yao inakataa. Na wakishtukia watu wamefananisha bet pia wanao uwezo wa kuzikataa pia bila yoyote maelezo yoyote (kama mkila, mkiliwa wanabeba hela).

Ukitaka kucheza 2 zinazofanana inabidi moja uende betshop au uicheze live zile dkk za mwanzo tu.
 
Meridian Rule Book

3. Placing Bets
3.2 A number of bets may be treated as being one when a client places multiple copies of the same bet, meridianbet.co.tz reserves the right to void bets where there may be evidence of collusion between two or more clients.

3.3 meridianbet.co.tz reserves the right to refuse any bet or part of a bet without giving a reason at any time.

3.8 meridianbet.co.tz reserves the right to refuse any bet without explanation.

Hivyo vipengele hapo juu vinatukaba sana, vinawapa uhuru wowote hata wa kutudhulum.
 
Sio meridian tu.
Hata bet365,williaamhill,marathon,spkrtpesa,betathome zote hizo zina vigezo hivyo hivyo zaidi wao malipo yao ni makubwa mfano william wanaenda hadi 2mil pounds max
 
Leo kuna Pesa wazee wenzangu.

UHAKIKA.
Colombia
Mexico
Brazil
Argentina
Spain vs germany GG

Ina odds 15.891

Na game ya spain na germany IGG na IIGG ina matter sana.

Mapendekezo ,ushauri unahtajika hapo.
*Muhindi ni adui yetu sote.
 
Sio meridian tu.
Hata bet365,williaamhill,marathon,spkrtpesa,betathome zote hizo zina vigezo hivyo hivyo zaidi wao malipo yao ni makubwa mfano william wanaenda hadi 2mil pounds max

mfano...nikatip kama leo
FRANCE WIN 1.42
ITALY WIN 1.5
UKRAINE WIN 1.4
BRAZIL WIN 1.4
MEXICO WIN 1.67
TOTAL ODDS 6.97
..... NKAWEKA 1000 MWINGINE 10000 MWINGINE 20000 .....na mkeka ukashinda... JE, itakuwa ni copied bet ambayo wanauwezo wakuifanya void.......
 
Leo kuna Pesa wazee wenzangu.

UHAKIKA.
Colombia
Mexico
Brazil
Argentina
Spain vs germany GG

Ina odds 15.891

Na game ya spain na germany IGG na IIGG ina matter sana.

Mapendekezo ,ushauri unahtajika hapo.
*Muhindi ni adui yetu sote.


England vipi hapo

Italy kapewa 1.5 odds

Hiyo ya Spain vs Germany unaweza kua na goal in both halves
 


Inategemea pia na kiwango cha kuliwa, watu kama 4 mkala 5m kila mmoja na bet ikafanana jamaa ndo watachachawa, ila hizi ndogo ndogo hawazifuatili sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…