Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
vela kaingia labda atafanya makeke
Brazil nae kashikwa huku dakika ya 30 hajapiga shuti hata moja...miranda kaumia kaingia thiago silva.....ni hatariii.......leeeeooooooo......mabalaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vela kaingia labda atafanya makeke
Mkuu mi sina tamaa leo nimeweka 2+ mwanzo mwisho
zilikua napoint nzuri tu..... dah....3+ inavutia point....brazil anataka kufanya yake.....maana japan keshatoa....mexico keshatoa... bado nna safari ...portugal..german..france..na guseiley..... ila brazil...ni hatari
vela kaingia labda atafanya makeke
Mexico cocha wao ana matatizo ya akili, kafanya 9 changes kwenye kile kikosi cha juzi.
sure bet ya kesho sijui leo, 18.11.2014
belarus vs mexico , mexico win odd 1.67 ,
weka hata milioni 2, mexico lazima ashinde
mammaaaa nimeliwa niliwapa slovakia, colombia na mexico nikatia laki2, Mexico kaniuaaa, haki ya nani gemu imeuzwa:hatari:kichwaaa kinaumaaaaa kichwa kinaumaaaaaa
baaabaaaaa........ Uliweka millioni 2 braza..... Hata brazil naona leooooo......atatuliza wengi....kilio cha mexico kingenihusu ningekuwa na mtaji...... Pole mkuuu.....
We ndo umeongea yani mi ni mwendo wa 2+ sitaki stress kabisaaHizi game za kirafik bora kudili na option ya magoli. Bora kesho game za kiafrika zipo kiushindani
AMKAAAA ESTONIA WANAONGOzaMamas mexico!!
Wakuu nalala,mkiona Brazil,Estonia,na Argentina zimeshinda mniamshe
AMKAAAA ESTONIA WANAONGOza
Mamas mexico!!
Wakuu nalala,mkiona Brazil,Estonia,na Argentina zimeshinda mniamshe
Estonia anashinda leo, Brazil anashinda Argentina mmmh
Mexico kafix mechi
Nina mashaka na italy maana wale nao mafia gang hawachezi mbali na game za kirafik