Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

wakuu ii optiona Half time Or End ikoje
IX*X au I2*2 au I1*1

1X*X wa nyumbani yaani atoe sare kipindi cha kwanza au amalize sare...mfano...akamaliza sare kafungwa....basi kipindi cha pili atoe sare UMEKULA au atoe sare kipindi cha kwanza...hata akifungwa cha pili UMEKULA...issue ni itokee tu sare yeyote....iwe kipindi cha kwanza au cha pili au mechi nzima ...vivyo hivyo kwa 2X*X
UKIJA 11*1 au 12*2..... ni kuwa 11*1 wa nyumbani ashinde kipindi chochote akitoa sare cha kwanza basi ashinde cha pili UMEKULA...akifungwa cha kwanza cha pili anatakiwa kushinda UNAKULA na away hivyo hivyo.....
 
Kama kuna anayeangali england kama mimi....na umemfungia dau refu..... Yaani panadol dawa za presha..za vidonda vya tumbo... Ikibidi aweke na bodaboda stand by kumpeleka hospital..... Mechi ngumu nyeusi.....
 
hiyo game zanzibar na bara bonge la deby
 
1X*X wa nyumbani yaani atoe sare kipindi cha kwanza au amalize sare...mfano...akamaliza sare kafungwa....basi kipindi cha pili atoe sare UMEKULA au atoe sare kipindi cha kwanza...hata akifungwa cha pili UMEKULA...issue ni itokee tu sare yeyote....iwe kipindi cha kwanza au cha pili au mechi nzima ...vivyo hivyo kwa 2X*X
UKIJA 11*1 au 12*2..... ni kuwa 11*1 wa nyumbani ashinde kipindi chochote akitoa sare cha kwanza basi ashinde cha pili UMEKULA...akifungwa cha kwanza cha pili anatakiwa kushinda UNAKULA na away hivyo hivyo.....

ahasante mkuu maana nilikua naisoma kawa na wasi wasi kidogo.
 
kuna mtu niliwahi mwambia england wc wangempa rooney ukapteni na gerad wangemuacha england ingefika mbali sana, watu walinirukia kwa maneno hadi bhaas. england hii ya rooney itafanya vizuri sana!!
 
haya wale wa england nyanyuen mikono juu

bado waafrika wa ulaya a.k.a ufaransa....ni maandazi hawa jamaaaa shoot 12 on target 2 duh..... Bora nngemcheza england peke yake kama brazil dah..... Nimeingiza mkono huu unatokea huu....usiku huu huuu duh....
 
sapin 0 - 1 germany

germany alikuwa na odd ya 3 , ikawa hadi odd 5 in play, hongereni mliompa germany single team
 
Staki kuamini ureno kapata goli dakika za nyongeza na kunichania mkeka.daaaaaaaah kweli lakuvunda halina ubani
 
Attachments

  • 1416346771856.jpg
    1416346771856.jpg
    75 KB · Views: 89
Back
Top Bottom