Dragondreamx
JF-Expert Member
- May 4, 2013
- 564
- 215
Asante mkuu. nisamehe, sinto changia tena
Chekecha akili yako kisha ufanye maamuzi
ni best option kwa hao jamaaa.....ila kwa matokeo yao ya karibuni..... ni 50/50 wanaweza wasifike 2 au wanaweza kuvuka kabisa
WEST MATCHES
LOOSE 2-1 KWA PERTH
LOOSE 3-2 KWA SYDNEY
LOOSE 4-0 KWA MELBOURNE
LOOSE 1-0 KW ADELAIDE
LOOSE 1-0 KWA WELLINGTON
CENTRAL MARCHES
DRAW 2-2 NA MELBOURNE
LOOSE 3-2 NA ADELAIDE
LOOSE 2-0 NA SYDNEY
LOOSE 2-1 NA WELLINGTON
WIN 5-0 NA PALM BEACH
MECHI 4 AWAY WEST KAPIGWA ZOTE KAFUNGA 4 KARUHUSU 10 ...HOME NDIO MECHI YA 1 ..... CENTRAL KACHEZA 2 AWAY KADRAW MOJA KAFUNGWA 1 ..KAFUNGA 2 KARUHUSU 4.... CHEMSHA KICHWA..... HII OPTION YA 2-3 inaweza kuwa nzuri ila ni NGUMU....
Uruguay na Peru wameniokoa!!
.Leo sijui wapi nitupe karata!!
nashukuru pia odd ya 4.5 ya uruguay ilikubali, mtaji wangu nami umerudi nilitupia laki2 kwa urugiuay tu nimepata laki 9
naiangalia kwa makini odd ya 4.65 ya algeria, nngoja nichungulie kikosi,
Kubet GG only nimeona ni ujinga......
Sasa hebu tazameni hii tip yangu ya game ya saa 11:30 asubuhi...hii
Guinea
Congo
Yaya toure
Nigeria
Hebu tuchambue hapo nani atoke
gg ikitoka unafaida.....ila wasipotoa gg .... uwiiiiii..... nakuombea mkuuu mi nimewapa 2+.... gg ikitiki nami inatiki...ila nna mlolongo wa 2+ Ivory coast..ghana...nigeria...tunisia...saudia ...portsmouth...congo DR....algerie...na uganda...
Guinea
Congo
Yaya toure
Nigeria
Hebu tuchambue hapo nani atoke
Guinea
Congo
Yaya toure
Nigeria
Hebu tuchambue hapo nani atoke
Inakuaje kwa yaya toure.......
hahahah ndo talisman wa cote d'voire kwasasa
Si ndo ivory coast!!Inakuaje kwa yaya toure.......
mkuu waganda wabishi sana, labda bet wagoli tu 2+