aisee ni maafa 2 kwa kwenda mbele. Ila najua ataingia tu kwenye 18 zangu. Kwenye uefa hanaga ujanja atakamuliwa tu.
Barca uhakika kwangu
sevilla
parma uhakika kwangu
Hizi timu ndogo haziwezi kumaintain winning streak nna wasiwasi leo parma atachana mikeka
I hope unatania! Umefanya moyo wangu ushtuke, nishaweka 45 kwa barca
Leo m-bet inasumbua sana..
Nipe timu nirudishe mkwanja wa jana mkuu
Mbet inazingua kwan rahim unatumia nn
Hiyo hiyo kaka, asubuhi ilikuja kidogo kisha ndio ikapotea kabisa. Sasa sijui kaona nini au anataka kujihami tu.
Ukiona hivyo ujue leo pesa ipo anajihami mapema
Leo naona itakula kwa kanjibah, maana watu 2nahasira.