aisee hata mie nimeweka ya urithi, yani vitu vinagonga boxa vinarudi
Nyumba za urithi zimepona, nimepata mtaji wa kesho, mdosi jiandae.
CEO utanitumia namba yako PM nikurushie vocha kesho mapema ya bundle na kuongea!
Asante sana.
dah nimekoseshwa pesa...... 3+ zimetoka zote.....bala town...crusaders ...reading...fulham....... kumamamazake mtandao.......natazama mkeka wanfu 2+ niort creteile..auxer.3+ fulham...bangor...bala town ..crusaders..na reading....
dah nimekoseshwa pesa...... 3+ zimetoka zote.....bala town...crusaders ...reading...fulham....... kumamamazake mtandao.......
Watu washauaga umaskini huko
dah nimekoseshwa pesa...... 3+ zimetoka zote.....bala town...crusaders ...reading...fulham....... kumamamazake mtandao.......
Leo Lebron James kanifanyia uchoko kinoma, mzigo niliopata niliugawa nusu nikautupia kwenye basket, nikapanga game 5, waliotibua ni kina Lebro peke yao, ambao sikutegemea kama wangenifanyia vile kwa kweli.
Nashukuru nimerudisha mtaji kwa Lakers, ila jamaa ni wakuda kinoma. James sitamsamehe maana mzigo alionikosesha ningekula weekend vizuri sana.
odds zilikuwa 32........ ....MZEEEE meridian haifunguki.....sites zingine zinafunguka meridian inaload inaishia kati.....dah......
Man City aliniharibia game na QPR, leo nampa tu liwalo na liwe.
hahah poa mzee mwenzangu
mi leo nampa imani shalke 04 japo hana matokeo mazuri
mkuu naomba namba ya simu ya meridian,nimetoa mpunga toka alhamic mpaka leo cjapata pesa mpesa
Shalke 04, sunderland, newcastle, stoke, dortmund. Everton