mathematics
JF-Expert Member
- Feb 21, 2012
- 3,322
- 1,110
Shalke 04, sunderland, newcastle, stoke, dortmund. Everton
mi leo nampa imani shalke 04 japo hana matokeo mazuri
Man City aliniharibia game na QPR, leo nampa tu liwalo na liwe.
shalke 04 anayechezea naye wolfburg ni moto wa kuotea mbali, nilitaka nimuue shalke o4, gg hapa inatoka kabisaa
newcatsle vs qpr nahis gg pia, qpr naye mzuri anaweza akatoa droo kwa newcastle
teh teh teh kuna watu wamemuua dortmund, sijui watafanikiwa
mbona gemu ya lyon vs bastia, hamuiongelei?? halafu odd 2.1 !!
kumamamamaeeeee...... mtandao ndio unakubali...... vijiji.i ni noma sana.... kituo changu ni MALAMPAKA..... net ndio inarudi.....
mtoto wa inzi unakwendaga kule regionalliga za german? kuna gemu regionalliga bayern, Greuth ll vs 1860 munchen ll, 1860 munchen anaweza shinda kweli hii gemu ana odd ya 2, nimeitamani sana hii odd ya 2
anashinda tena vizuri tu..... meridian haifunguki afu vimashine huku hamna....pesa iko kwenye account.....dah nakosa tena pesa hivhiv
wakuu mbona game ya man hamuijadili
ndugu ukiona hivyo hakuna anaetaka presha..,,
mkeka wangu huo ; newcastle, stock; leverkuzen, Roma, lyon, wolfsburg, juve, R.sociedad, na monaco. nasubiria mpunga m. 3.2
tujaribu hapa
grimsby,macclesfield,hayes&yeadin,flydeblackburn,chalton,basingstoke town,white hawk,wolves
anashinda tena vizuri tu..... meridian haifunguki afu vimashine huku hamna....pesa iko kwenye account.....dah nakosa tena pesa hivhiv
Dortmund's kafufuka!!