Dragondreamx
JF-Expert Member
- May 4, 2013
- 564
- 215
Ile ya m-bet,*149*19#Umebet kupitia kampuni gani
Kuna mechi mbili za saa 1: 30 ..
Soul na sijui timu gani ..vip hizo zimekaaje
Leo tutafute timu kati ya hizi hapa
Mi leo nabet game ya escrow. Odds zipo hivi. Waziri mkuu win 5.00. Mwanasheria mkuu lose 3.45, draw 4.05... Sijui mzigo niweke wapi.
Huku wamekata umeme nduguu hata hata hatujui mechi inaendeleaje..,,
aisee hata huku wamekata sijui ngapi ngapi hadi sasa
Nahisi PAC FC anaongoza kwa cap sasa..,,
Nahisi PAC FC anaongoza kwa cap sasa..,,
Hii game usishangae ikashindikana kuisha.