for the first time Leo nimefanya betting.nilibet game 5 nilitoa ushindi kwa Bayern Munich, shalke 04, csk Moscow, na bournemouth. na nikawapa swansea city na crystal palace sare. bond nikaweka book 3 nipate 37900. game 4 mikapatia nikapoteza 1. bournemouth vs Millwall dk ya 88 Millwall wakachomoa ....nimeanza vibaya
Sporting cp na Madrid wamenipunguzia machungu,.mzungu nilizid kumzoea Sana nimempiga siku4 mfululizo Jana kaniotea mmkeka m1 katika mitatu..������