Rockcity native
JF-Expert Member
- Dec 31, 2012
- 2,174
- 1,445
- Thread starter
-
- #7,641
Espanyol win
celta vigo win
newcastle win
west ham win
liverpool win
total odds 83.....
Yaaani unajifunika.....
Espanyol win
celta vigo win
newcastle win
west ham win
liverpool win
total odds 83.....
Yaaani unajifunika.....
Mungu yupo na anaishi
Espanyol win
celta vigo win
newcastle win
west ham win
liverpool win
total odds 83.....
Yaaani unajifunika.....
Hivi wazee wenzangu hebu tushauriane kuhusu jinsi bonus ya Meridian inavyotumika, maana huwa nikiipata inapotea bila mahesabu.
Nadhani mwezi huu nitaipata hivyo nataka kuwa tayari kuitumia vizuri.
kuna mtu humu aliwai sema kuwa bonus inabidi iekwe yote ktk mkeka mmoja ukiitenganisha tu imekula kwako
Itabidi nisicheze kwanza mpaka jamaa wanipe mwongozo, maana last time nilikula harafu sikuiona ilikoenda.
Bonus weka yote mkuu, mfano wakikupa 10,000 then ukaweka mkeka ukala 100,000 wanakata 10,000 then unabaki na 90,000.......bonus nikama mkopo.
Okay, sasa kwa mfano yote nikiiweka kwenye game yenye odd 1.60, nikila itakuwa 16,000, hapa napewa kiasi gani?
Mi naona wangesema mkopo kuliko bonus
hahahaaa mkopo ukipigwa hulipi... :lol:
Nani atoke humu katika huu mkeka.?
West ham na MK Dons