Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kamkeka kangu engine kavocha kanamsikiliza bwanamdogo woking,..then kapumue had tarehe6 na Cambridge utd..kwikwikwiii����
 
mkeka wangu wa 2-4 unapumua, plse crystal vs aston vla paten gol jingne.
 
yani timu kumi zimekubali nimekosa laki kwa buku sababu ya hawa washenz crystal pales na aston vla.

yani ni siku sijala yan mpaka naona kula ni kama maajabu.
 
2+ za leo zimetoka..... zimebaki za kesho.... chelsea..mancity...arsenal na everton..... yaani niliogopa mechi za leo hatari....japo newcasstle kaua mikeka miwili..... celta hata akishinda nyukesto keshaua.....
 
2+ leo crystal palace na elche wameniharibia aiseee ila siku hizi ndo zinazo niokoa hizi 2+
 
Chelsea,everton,freamunde,oliverense,nice,arsenal,udinese.... Kapu ndo hilo chaguo ni lako
 
Hizo timu kwenye red usizipe 100%

umeniwahi ushauri.... freamunde na oliverense ni maandazi sana....ile ligi yao daraja la pili kama serie B tu..... mechi zao ni nyeusi sana..... kwa arsena kama humjuavyo anashinda mbili anaopigwa mbili.....kila mechi 5 lazima apoteze 2..... hanaga consistency
 
Asante sana Liverpool, Man U, Swansea. Mmenitoa hadi 50$. Leo Arsenal, Chelsea, City, everton napata 51 kwa 8$
 
Kuna jamaa kasema alikamatwa akiwa ameenda kituo cha Meridia kuchukua hela .
Je ina maana hawa watu hawana kibali ya kuendesha michezo hiii au michezo hii ya betting imenyimwa kabisa nchini ?
 
Back
Top Bottom