napendekeza watu humu tukutane tujuane, mnaonaje wadau ?
hahaha,.sikuwanae huyo
hahaha,.sikuwanae huyo
mimi ni member wa siku mingi nachangiaga sana humu ila kwa kutumia jila kaka wangu. 🙂
hahaha,.sikuwanae huyo
Wametuone bure tuu,.eti kiss mmniliki hana kibali wakatukusanya hadi wateja wake.
Jamaa ameonekana leo humu kwa mara ya kwanza afu eti anataka tukutane! Nikawaza anataka kutukamatisha kwa wale polisi huyu.
Liver kashapigwa 1
usiwe muoga kijana, hupend kuongeza marafiki?
Leo nimekalia pabaya,,athletic Bilbao washanivuruga����
West ham wanaelekea kunifita machoz,.kaz ibaki kwa man u.