Dragondreamx
JF-Expert Member
- May 4, 2013
- 564
- 215
wakuu kuna ambaye ameweza kufungua website ya meridian kwa muda huu
We senge hao nimewapigia wanasema wanashughulikia tatizo zaidi ya lisaa lizima
wakuu kuna ambaye ameweza kufungua website ya meridian kwa muda huu
jana wamefilisiwa nn?
Pole Mkuu,
betting ya ajabu sana usikate tamaa mzee mwenzetu..,,
jana wamefilisiwa nn?
wazee wenzangu kuna yyte amefanikiwa kufungua website ya hawa jamaa?
page not found..... Wakifunga mazima .....watu watatembea wanaongea wenyewe...... Naamini kuna watu walifanya benki mle ...wanaacha tu mizigo yao..... Ukila toa acha za kuchezea....
page not found..... Wakifunga mazima .....watu watatembea wanaongea wenyewe...... Naamini kuna watu walifanya benki mle ...wanaacha tu mizigo yao..... Ukila toa acha za kuchezea....
Au ndo hawana kibali wanasepa hivyo tena na hela za watu ndani
Yaaani ikifunguka natoa hela zote nakuwa naacha laki kushuka chini
Maana wananionyesha dalili mbaya