Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jana mi ndio senge kweli kweli
Nimempa
Newcastle win
Stoke win
Ronaldo 2+
Benfica H3+
Ajax 1&H3+
Porto AW2

Sasa ona nlivyo senge nikaweka shilingi 200/- tuu
Ikaleta 41500
NAJUUUUUUUUUUUUTAAAA UOGA WANGU

chakushangaza ni
Wellington A2+
arsenal A2+
Benfica H2+
Man City H2+
Porto A2+
Ajax H2+
Roma H2+
Shackle04 A2+
Nikaweka 30000/-
Man city akanyea kambi
Jamani mimi
 
wakuu kuna ambaye ameweza kufungua website ya meridian kwa muda huu
 
:happy::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big:
 
jana wamefilisiwa nn?

Jana watakuwa wamewapga sana ma investors aisee. Kwa matokeo yale ni AIBUUUUUUU. Kuna muda nilisema ngoja ntengeneze mkeka wa hela nikaweka Ajax, Atletico Madrid, PSG, St. Etienne, Athletic Bilbao. Dah Bilbao si kaua mkeka wangu, nilijipinda 25,000. Nikaenda kulala hapohapo
 
Ila jana sijapata hasara ila faida kidogo....kama 10000 ivi
Ila mi najuuuuuuta tuuu
 
Yaaani jana wamenisafisha hadi sina hami kabisa. Leo nampa Lyon, Sevilla, Milan
 
wazee wenzangu kuna yyte amefanikiwa kufungua website ya hawa jamaa?

page not found..... Wakifunga mazima .....watu watatembea wanaongea wenyewe...... Naamini kuna watu walifanya benki mle ...wanaacha tu mizigo yao..... Ukila toa acha za kuchezea....
 
page not found..... Wakifunga mazima .....watu watatembea wanaongea wenyewe...... Naamini kuna watu walifanya benki mle ...wanaacha tu mizigo yao..... Ukila toa acha za kuchezea....

Kweli mkuu, ukila toa ila acha kamtaji kiasi tu
 
page not found..... Wakifunga mazima .....watu watatembea wanaongea wenyewe...... Naamini kuna watu walifanya benki mle ...wanaacha tu mizigo yao..... Ukila toa acha za kuchezea....

We vunga tuu maana hapa mi nisha wapigia simu kama mara nne
Sijui wanataka kimbia
 
Au ndo hawana kibali wanasepa hivyo tena na hela za watu ndani
 
Back
Top Bottom