stineriga
JF-Expert Member
- Jun 20, 2012
- 2,172
- 892
Man City na Everton bora ummpe Mancity atleast 1 goal. Kumpa ushindi ni kutaka jiua
sasa man city kumpa 1+ goal unajua odds ni ngapi, odd 1.03
everton kumfunga man city ? imposible
Man City na Everton bora ummpe Mancity atleast 1 goal. Kumpa ushindi ni kutaka jiua
St etiene,bilbao
Wale wa live ndo mda wa kumfata chelsea
Yaani hela niliyotafuta kwa wiki nzima ndo inaisha kisa Chelsea.
Yaani hela niliyotafuta kwa wiki nzima ndo inaisha kisa Chelsea.
Leo kinasanuka leo, jamaa leo wanapiga wameshika.
chelsea win
man city win
tottenham win
bayern munchen win
atletico madrid win win
roma win
benfica win
psg win
liverpool win
Total odds 22.51877
mwenye mashaka twamtoa.....
chelsea win
man city win
tottenham win
bayern munchen win
atletico madrid win win
roma win
benfica win
psg win
liverpool win
Total odds 22.51877
mwenye mashaka twamtoa.....