abour
JF-Expert Member
- Apr 8, 2014
- 735
- 309
mdau...meridian account zero...netuma3000.... vimashine huku hamna.... na voda ndio imekata....
pole tafta mtu mbet nae
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mdau...meridian account zero...netuma3000.... vimashine huku hamna.... na voda ndio imekata....
pole tafta mtu mbet nae
hiyo extent ni mbaya.... haitokuwa RESPONSIBKLE GAMBLING....1)haitakiwi ikutese 2) haitakiwi ikuchukulie mda wako mwingi 3) haitakiwi ugamble huku unastress .... kuna kanuni nyingi sana za responsible gambling/betting..... sio dhambi kutobet....
Mimi nilikwambia siku ile hapa penyewe nishachaniwa mkeka na wa russia spartak niliwapa win sijui niliwashwa nini wakati siku hizi nilishabadilisha formula hakuna cha normal bet ni gg na 2+ ukiweka hii kwa mechi hata 10 hulali njaa. Normal inazingua sana saiv timu zinashindana sana na magoli yapo mengi tu.nakula kkikapu ...volleyball na soka 2+ baaasi.kila nkiweka normal chali....
Hawa meridian -------
*Player not found* toka saa 5 alfajiri
Game za bake zitaisha
Sociedad ndio kanikandamiza
Mazee hizi game za basket zinazoanzaa saa sita znakaaje?
saa sita ipi... ya mchana ya usiku..
leo natafuta total odds 3, nitupie kitu nipate mtaji wa kesho.
Wadau kuna vocha kwa atakayeleta odds 3 za ushindi, tudiscuss.
Muhindi ni mgumu sana kumla individually.
Nitatupia soon mkeka wangu
dundee 1.84
heidenheim 1.75
odds 3.22
Leo natafuta total odds 3, nitupie kitu nipate mtaji wa kesho.
Wadau kuna vocha kwa atakayeleta odds 3 za ushindi, tudiscuss.
Muhindi ni mgumu sana kumla individually.
Nitatupia soon mkeka wangu
Wadau mbona mimi haikubali zaidi ya jelo kwenye stake tokea nimeanza nina wiki 2 ni mwendo wa jelo tuuu na nataka kutupia km buku tano hv inakataaa acc in elfu 15
wadau mbona mimi haikubali zaidi ya jelo kwenye stake tokea nimeanza nina wiki 2 ni mwendo wa jelo tuuu na nataka kutupia km buku tano hv inakataaa acc in elfu 15