Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Poleni mliopigwa jana ndomambo ya betting hayo.chamsingi tujipange vyema kuwakabili hawa wadosi leo.ngoja nizame chimbo nikiibuka na dondoo ntazimwaga hapa wakuokota aokote..
 
Nilimuamini sana Chelsea, Arsenal, City na Everton ila everton kanikosesha hela
 
Wazee wenzangu hawa meridian inakuwaje ukiwa una-submit mkeka wanakwambia No shift open then close, nn shida hapo?
 
Wazeee mpo nilikuwa chimbo kidogo ila kama week iliyopita ulikosa mpnga hauna bahati ila tusikate tamaa ndo betting ilivyo
 
Niko na shida ya mtaji wa kuku 1000 wa kisasa sasa
Hapa niambieni nimtoe nani tushauriane kummaliza mdosi
 

Attachments

  • 1417684931620.jpg
    1417684931620.jpg
    67.5 KB · Views: 115
kuna mkeka wa volleyball niliweka timu 17 tangu juzi....zimebaki timu 3 za leo....kwa jero....nilikuwa nawapima upepo wao wao ukoje.... umeleta 21000/..nkipata huu mtaji soka baibai.......
 
Asante Perth over 1.5 now reading at 68$, hope nimeanza vizuri
 
Wazee wenzangu AFCON yaja januari... Haya mashndano ni rafiki wa option ya 0-2
 
Lyon
olompia
villareal
rayo vallecano Vs valencia GG
spartak M
.,kwa wanaotafuta mtaji
 
ningecheza hivi
cagliari
sampdoria
villareal
real sociedad..... sina mtaji
 
Back
Top Bottom