Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Barca,chelsea na ajax ela zipo huku wote hawa wanashinda.
 
Man city gg
Bayern win
Barcelona gg
Ajax win
Chelsea win
Porto gg
Bilbao gg
 
Andika urithi wako mapema usitusahau wazee wenzako incase pumzi zikakata dk90 zitakapoisha..,,

mzee mwenzangu haya mambo mwisho wa siku lazma tuwambie ndugu na jamaa ili haki zisije potea. Unaweza kukuta mtu ana acount meridian au iplay8 casino ina mpunga mwingi siku akidanja ndo haki haitopatikana.. Kwahyo wazee wenzangu ni vizuri hii tukawajuza watu wa karibu
 

Hapo sasa ndipo ndoa za watu zitakapovunjika..,, :lol:
 

jamii ya kitanzania bado hawajui kuwa bahati na sibu (betting) ni biashara kama biashara zingine.
 
LAS PALMAS ....anaongoza mara2...anarudishwa!!!!!!! NAENDA LIKIZO RASMI.... MPAKA NDOA APRIL..... SITAKI STRESS..... xyz ameniomba tip ..mtandao uligoma.... naamini kabakiza timu 2..... sikumpa niliyoweka.... atatoa mrejesjo
 
maclesfield anaongoza.....EMBU TUANGALIE ULE UGONJWA WA TIMU MOJA UTAENDELAEA!!!! NIMEPUNGUZA MPAKA TIMU 2....STILL TIMU 1 INAUA.....
 
Asante man city, biashara kwisha Mpaka weekend hahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…