Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
lakers kaua mtu
sacramento kalegeza sana quarter ya mwisho..... Kaongoza vizuri....kavurugwa yeye gap la 3pts.... Alipewa yeye ushindiwa gap la 5pts.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
lakers kaua mtu
Mi hapa still nawata timu ya kuibet a
Mhhhhhh hapana
Game za gg ni ya chelsea na porto weka hata dau pumzi...
Andika urithi wako mapema usitusahau wazee wenzako incase pumzi zikakata dk90 zitakapoisha..,,
mzee mwenzangu haya mambo mwisho wa siku lazma tuwambie ndugu na jamaa ili haki zisije potea. Unaweza kukuta mtu ana acount meridian au iplay8 casino ina mpunga mwingi siku akidanja ndo haki haitopatikana.. Kwahyo wazee wenzangu ni vizuri hii tukawajuza watu wa karibu

Hapo sasa ndipo ndoa za watu zitakapovunjika..,, :lol:
Game za gg ni ya chelsea na porto weka hata dau pumzi...