Dragondreamx
JF-Expert Member
- May 4, 2013
- 564
- 215
hahah cha msingi kuepusha yote ktk acount tuwe tunaacha mtaji tu
Mie sikuiz account siiachi na zaidi ya laki..........
Nnakazi na hela......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahah cha msingi kuepusha yote ktk acount tuwe tunaacha mtaji tu
mzee mwenzangu haya mambo mwisho wa siku lazma tuwambie ndugu na jamaa ili haki zisije potea. Unaweza kukuta mtu ana acount meridian au iplay8 casino ina mpunga mwingi siku akidanja ndo haki haitopatikana.. Kwahyo wazee wenzangu ni vizuri hii tukawajuza watu wa karibu
Hapo sasa ndipo ndoa za watu zitakapovunjika..,, :lol:
jamii ya kitanzania bado hawajui kuwa bahati na sibu (betting) ni biashara kama biashara zingine.
hahah cha msingi kuepusha yote ktk acount tuwe tunaacha mtaji tu
📯📯📯📯📯📯📯📯📯📯📯📯jaaaamaaaaani 📣📣📣📣📣📣📣📣📣📣📣📣
amkeni hela hiii hapa
Haaaha mkuu hiyo haikuwa college kweli.?
Jaman nishashusha mkeka
wakuu betting kuna ela ya bure basi tu nikukosa pesa au kutokuamua kuweka pesa mingi, tenga weka mirioni kama mtaji ule wastani wa laki 5 kila wiki...!!
mfano
sure bets
12.12.2014 Almeria - Real madridi , madrin win, odd 1.18
13.12.2014 Getafe-Barcelona, Barcelona win , odd 1.2
kwa wiki sure bets hazikosekani 2 hadi 5
sure bets ni zile ukiangalia tu unajua nani mshindi,
Likizo imeisha narudi mzigoni leo... hebu nitupieni mechi za usiku za pesa wakuu. Basketball au soccer