Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kiukweli leo ninefurahia sana kuamka na kukuta Monaco, Lille,Benfica,Tottrrnham,Man U. Atleast nimeshinda kwa mara ya kwanza toka June
 
Daah wakuu, weekend hii ilikua majanga, Werder Bremen kaniua mkeka wa laki na nusu,
Saints nae kaniua mkeka wa 50,500. Jana Sporting CP nae kaniua mkeka wa 40,000 daaah, huu ni usenge.
 
Kuna mtu kaanzisha uzi akisema sana kuhusu betting.
Kupitia ule uzi nimejua wanaobet ni wengi sana.
Ukienda pale shoppers unakuta watu wanajadili mechi kwa ushirikiano ili wamuue mhindi. Lets start big
 
Mechi ya mwisho kwenye mkeka daima huo ndio inatuuaga.. Naona kabisa leo Atletico anatuua vibaya ila acha niweke tu hivohivo
mkuu kwenye psyichic power kutoka kwa mwalimu Pasco na kitabu cha "bring out magic in your mind" by al koran kuna kitu kinaitwa subconsious mind, hapa subconcious mind ilikuambia kabisa atletco anakufa lakini na bado ukawa mbishi. laiti kama ungeiamini subconcious mind yako ukamuua atletco sasa hivi ungekuwa unacheka ! yani subconcious mind ni sauti ya ndani inayokuambia na kukuelekeza na kukutahadharisha mambo, if we will only could listen clearly this voice tungekuwa tunashinda betting daily! Pasco nahitaji somo la kuiheusha hii sauti niwe naisikia kwa sauti kubwa, huwa naisikia lakini kwa sauti ya mbali sana, baadaye najuuta why sikuisikia kwa sauti kubwa! mfano siku ya match ya newcastle nilisikia kabisa sauti ikiniambia newcastle anashinda lakini nikawa mbishi nikampa chelsea, nikala za uso.

cc Pasco
 
Last edited by a moderator:
Sasa hebu tupeane tips hapa mechi za leo, naombeni timu 4 ama 5 za uhakika leo, Everton sina imani naye leo, Your views wazee wenzangu wa Mzigo.
 
mkuu kwenye psyichic power kutoka kwa mwalimu Pasco na kitabu cha "bring out magic in your mind" by al koran kuna kitu kinaitwa subconsious mind, hapa subconcious mind ilikuambia kabisa atletco anakufa lakini na bado ukawa mbishi. laiti kama ungeiamini subconcious mind yako ukamuua atletco sasa hivi ungekuwa unacheka ! yani subconcious mind ni sauti ya ndani inayokuambia na kukuelekeza na kukutahadharisha mambo, if we will only could listen clearly this voice tungekuwa tunashinda betting daily! Pasco nahitaji somo la kuiheusha hii sauti niwe naisikia kwa sauti kubwa, huwa naisikia lakini kwa sauti ya mbali sana, baadaye najuuta why sikuisikia kwa sauti kubwa! mfano siku ya match ya newcastle nilisikia kabisa sauti ikiniambia newcastle anashinda lakini nikawa mbishi nikampa chelsea, nikala za uso.
cc Pasco
Mkuu Mathematics, kwanza asante kwa cc yako, huwezi amini leo ndio kwa mara ya kwanza nausoma uzi huu!.

Namna rahisi ya kuisikia "the voice from within", ni kwa wewe kufanya meditation ya kukaa kimya na kujisikilizia, "lestern from yourself". Ukinyamaza na ku will kuisikia, pale unapoisikia kwa mbali, will kuisikia zaidi, hatimaye utaona sauti zingine zote ndio ziko mbali, na sauti hiyo utaisikia loud and clear!.

Pasco
 
mkuu kwenye psyichic power kutoka kwa mwalimu Pasco na kitabu cha "bring out magic in your mind" by al koran kuna kitu kinaitwa subconsious mind, hapa subconcious mind ilikuambia kabisa atletco anakufa lakini na bado ukawa mbishi. laiti kama ungeiamini subconcious mind yako ukamuua atletco sasa hivi ungekuwa unacheka ! yani subconcious mind ni sauti ya ndani inayokuambia na kukuelekeza na kukutahadharisha mambo, if we will only could listen clearly this voice tungekuwa tunashinda betting daily! Pasco nahitaji somo la kuiheusha hii sauti niwe naisikia kwa sauti kubwa, huwa naisikia lakini kwa sauti ya mbali sana, baadaye najuuta why sikuisikia kwa sauti kubwa! mfano siku ya match ya newcastle nilisikia kabisa sauti ikiniambia newcastle anashinda lakini nikawa mbishi nikampa chelsea, nikala za uso.

cc Pasco

Mkuu imeniuma sana... Na hii huwa inanitokea mara nyingi sana.. Wakati mwingine huwa naota kabisa.. Itabidi mkuu Pasco atupe vizuri hili darasa
 
Last edited by a moderator:
naombeni kujuzwa na anayejua jinsi ya kuhamisha mpunga kutoka account ya m-pesa kwenda kwenye online account ya meridian; kwenye reference no. tunaingiza jina kw style gan (email au nn?)
 
Weka ID number yako uliyopewa meridian ni rahisi zaidi ninavyo ona..,,
 
mkuu kwenye psyichic power kutoka kwa mwalimu Pasco na kitabu cha "bring out magic in your mind" by al koran kuna kitu kinaitwa subconsious mind, hapa subconcious mind ilikuambia kabisa atletco anakufa lakini na bado ukawa mbishi. laiti kama ungeiamini subconcious mind yako ukamuua atletco sasa hivi ungekuwa unacheka ! yani subconcious mind ni sauti ya ndani inayokuambia na kukuelekeza na kukutahadharisha mambo, if we will only could listen clearly this voice tungekuwa tunashinda betting daily! Pasco nahitaji somo la kuiheusha hii sauti niwe naisikia kwa sauti kubwa, huwa naisikia lakini kwa sauti ya mbali sana, baadaye najuuta why sikuisikia kwa sauti kubwa! mfano siku ya match ya newcastle nilisikia kabisa sauti ikiniambia newcastle anashinda lakini nikawa mbishi nikampa chelsea, nikala za uso.

cc Pasco

Mkuu na wewe ni mdau wa ule uzi.? Haahaa
 
Yaaani hapa uliongea point
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom