Huyu Juventus ni mshenzi sana kuliko timu zote duniani
PSG ndio baba lao kwa ushenzi kuliko baba timu washezi wote duniani:alien:Huyu Juventus ni mshenzi sana kuliko timu zote duniani
mkuu kwenye psyichic power kutoka kwa mwalimu Pasco na kitabu cha "bring out magic in your mind" by al koran kuna kitu kinaitwa subconsious mind, hapa subconcious mind ilikuambia kabisa atletco anakufa lakini na bado ukawa mbishi. laiti kama ungeiamini subconcious mind yako ukamuua atletco sasa hivi ungekuwa unacheka ! yani subconcious mind ni sauti ya ndani inayokuambia na kukuelekeza na kukutahadharisha mambo, if we will only could listen clearly this voice tungekuwa tunashinda betting daily! Pasco nahitaji somo la kuiheusha hii sauti niwe naisikia kwa sauti kubwa, huwa naisikia lakini kwa sauti ya mbali sana, baadaye najuuta why sikuisikia kwa sauti kubwa! mfano siku ya match ya newcastle nilisikia kabisa sauti ikiniambia newcastle anashinda lakini nikawa mbishi nikampa chelsea, nikala za uso.Mechi ya mwisho kwenye mkeka daima huo ndio inatuuaga.. Naona kabisa leo Atletico anatuua vibaya ila acha niweke tu hivohivo
Sasa hebu tupeane tips hapa mechi za leo, naombeni timu 4 ama 5 za uhakika leo, Everton sina imani naye leo, Your views wazee wenzangu wa Mzigo.
PSG ndio baba lao kwa ushenzi kuliko baba timu washezi wote duniani:alien:
Troyes, Palermo hao nina imani watatutoa. Atleast
Mkuu Mathematics, kwanza asante kwa cc yako, huwezi amini leo ndio kwa mara ya kwanza nausoma uzi huu!.mkuu kwenye psyichic power kutoka kwa mwalimu Pasco na kitabu cha "bring out magic in your mind" by al koran kuna kitu kinaitwa subconsious mind, hapa subconcious mind ilikuambia kabisa atletco anakufa lakini na bado ukawa mbishi. laiti kama ungeiamini subconcious mind yako ukamuua atletco sasa hivi ungekuwa unacheka ! yani subconcious mind ni sauti ya ndani inayokuambia na kukuelekeza na kukutahadharisha mambo, if we will only could listen clearly this voice tungekuwa tunashinda betting daily! Pasco nahitaji somo la kuiheusha hii sauti niwe naisikia kwa sauti kubwa, huwa naisikia lakini kwa sauti ya mbali sana, baadaye najuuta why sikuisikia kwa sauti kubwa! mfano siku ya match ya newcastle nilisikia kabisa sauti ikiniambia newcastle anashinda lakini nikawa mbishi nikampa chelsea, nikala za uso.
cc Pasco
mkuu kwenye psyichic power kutoka kwa mwalimu Pasco na kitabu cha "bring out magic in your mind" by al koran kuna kitu kinaitwa subconsious mind, hapa subconcious mind ilikuambia kabisa atletco anakufa lakini na bado ukawa mbishi. laiti kama ungeiamini subconcious mind yako ukamuua atletco sasa hivi ungekuwa unacheka ! yani subconcious mind ni sauti ya ndani inayokuambia na kukuelekeza na kukutahadharisha mambo, if we will only could listen clearly this voice tungekuwa tunashinda betting daily! Pasco nahitaji somo la kuiheusha hii sauti niwe naisikia kwa sauti kubwa, huwa naisikia lakini kwa sauti ya mbali sana, baadaye najuuta why sikuisikia kwa sauti kubwa! mfano siku ya match ya newcastle nilisikia kabisa sauti ikiniambia newcastle anashinda lakini nikawa mbishi nikampa chelsea, nikala za uso.
cc Pasco
naombeni kujuzwa na anayejua jinsi ya kuhamisha mpunga kutoka account ya m-pesa kwenda kwenye online account ya meridian; kwenye reference no. tunaingiza jina kw style gan (email au nn?)
Weka ID number yako uliyopewa meridian ni rahisi zaidi ninavyo ona..,,
mkuu hii kitu una uhakika nayo (ulishawahi kujaribu)