Jana man city na mk dons wameniua
Leo nimejilipua wadau.
Liverpool- Draw
Trabzspor- Win
Barnsley - Draw
Tel Aviv- Draw
kwa Buku.
kuna group jipya whatsapp la tanzania betting
ndo linaanza tupia namba yako
nkuunganishe tuwe tunapeana
mawazo! au ntext 0652572448
Humu ndani hesabu ya haraka hataka tuko zaidi ya 100 whatsapp group zina 50 tu
Hushangai kwanini watu wanatumia ID zikizotofauti na majina yao? Hii ni ili watu wasifahamu who is who. Ukisema whatsapp unaongelea namba ambayo inataja jina la mtu kama lilivyo.asa iv wameongeza bhana adi 100...umu tuko zaid ya 100 ila walioko activ kuchangia ni wachache wengi tunasoma na kuishia tu
Hushangai kwanini watu wanatumia ID zikizotofauti na majina yao? Hii ni ili watu wasifahamu who is who. Ukisema whatsapp unaongelea namba ambayo inataja jina la mtu kama lilivyo.
Hapa kiukweli itakuwa uchoyo kama tutakubali jiunga na whatsaap na kuacha jukwaa kubwa na lenye kudumu.
Leo kuna hela kweli??.