Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Leo nimejilipua wadau.

Liverpool- Draw
Trabzspor- Win
Barnsley - Draw
Tel Aviv- Draw
kwa Buku.
 
kuna group jipya whatsapp la tanzania betting
ndo linaanza tupia namba yako
nkuunganishe tuwe tunapeana
mawazo! au ntext 0652572448
 
kuna group jipya whatsapp la tanzania betting
ndo linaanza tupia namba yako
nkuunganishe tuwe tunapeana
mawazo! au ntext 0652572448

Humu ndani hesabu ya haraka hataka tuko zaidi ya 100 whatsapp group zina 50 tu
 
ENPPI-win
Fulham-win
Trabzou-win
Yeovil-win
Barnsley-win
Total Odds 21.
 
asa iv wameongeza bhana adi 100...umu tuko zaid ya 100 ila walioko activ kuchangia ni wachache wengi tunasoma na kuishia tu
Hushangai kwanini watu wanatumia ID zikizotofauti na majina yao? Hii ni ili watu wasifahamu who is who. Ukisema whatsapp unaongelea namba ambayo inataja jina la mtu kama lilivyo.
Hapa kiukweli itakuwa uchoyo kama tutakubali jiunga na whatsaap na kuacha jukwaa kubwa na lenye kudumu.
 
hhhh poa and usiwaze mi nmetupia tu kuweka watu pamoja kama mtu akipenda anaweza join nasi
 
leo pabaya mazee mi itanibid nipumzike nisije kulizwa kama jana nilivo lizwa..tukutane mwaka mpyaa
 
kula kuliwa ndio falsafa za betting kukata tamaa ni uwoga tuu.. wakubwa kutoa draw tatzo walikuwa wamechoka sana ebu angalien walio draw wote ndo walioshinda 2days bfore .... makamanda msichoke tupambane.... chukua tips hii alaf ijarib ikikunufaisha ulete mrejrsho hapa jukwaan.... 1. chagua game 5 zenye odds linganifu mf 2.34-2.75 (yaan point za win home na away hazipishan sn) then weka 2+ x5. odds zinakuwa 3.5 had 6 kulingana na odds ulizochagua..ukiweka msimbazi unapata mtaji msilazmishe ushind
 
Yote ilikuwa inatoa jumla ya Tshs. 596,875.91
 
Attachments

  • 1419888512649.jpg
    1419888512649.jpg
    31.2 KB · Views: 155
  • 1419888530737.jpg
    1419888530737.jpg
    31.4 KB · Views: 138
  • 1419888547387.jpg
    1419888547387.jpg
    33.3 KB · Views: 133
Back
Top Bottom