Siamini mkuu.maana mkataba wao ni saa 24 wanalipa...na hata ukiwapigia hawaeleki wanasema kama imepita siku ya malipo haulipwi..ofisi zao ziko wapi niende huko huko..nimepoteza pesa yangu tu.
Kuna watu washawahi kutumiwa baada ya wiki moja, huwa inatokea mara moja moja.
Mimi nipiga hiyo mi5
lakini hawajalopa m-bet niliweka sou(win)...tot(win)..hul(win)...n.k
lakini jamaa longo longo nyingi tu ...nilibet kawaida..kasirika
sana.wezi tu jamaa
pole sana mkuu, hawa jamaa wanalipa hawawezi kuacha kulipa japo sometime wanazingua kwa kauli zao.. mi ishakaa hadi siku 4
Kauli za kuhuni huni
tu..yaani wanakatisha tamaa mkuu.sijui kama watalipa...makao yapo wapi
hivi?
sijajua ni wapi mkuu
M-bet hawalipi ela nishinda mechi za tarehe 1 mpaka sasa tarehe 3 hawajalipa jamaa longo longo alafu waswahili wengi mno kule
M BET PESA NILIYOSHINDA JANA WAMESHANILIPA NA KIUKWELI NIMEWAIBIA KIDOGO.game namba 9 ktk m bet ilikuwa ni far rabat v renaissance(league ya moroco) game ilianza saa 12 jioni na kufika saa 2 usiku game ikawa imeisha kwa suluu ya 0-0.kwenye m bet wakawa wameshaitoa but kwenye m bet web game wakawa wameibadilisha muda toka 1800 hrs mpaka 2155 nikasema ngoja nimpapase kidogo nikaweka elfu 10 kwa raf rabat sare,cardiff win na bala town win ticket ikaja ya 69666,NIKAANZA KUWASIKILIZIA HAO WENGINE.LEO WAMESHANITUMIA HYO PESA NA NIMETOA ELF 60 ILIYOBAK NIMEBET YOTE..BAHATI YAO SIKUWA NA PESA MNGEPATA MGAO WOTE HAPA JAMVINI
Kauli za kuhuni huni tu..yaani wanakatisha tamaa mkuu.sijui kama watalipa...makao yapo wapi hivi?
Return ni kias gn mkuu?Leo naua vigogo
Man u loose
Southampthon loose
Aston villa loose
Barcelona draw
R. Madrid loose
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Leo naua vigogo
Man u loose
Southampthon loose
Aston villa loose
Barcelona draw
R. Madrid loose
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums