magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 11,075
- 24,634
Siamini mkuu.maana mkataba wao ni saa 24 wanalipa...na hata ukiwapigia hawaeleki wanasema kama imepita siku ya malipo haulipwi..ofisi zao ziko wapi niende huko huko..nimepoteza pesa yangu tu.
Kuna watu washawahi kutumiwa baada ya wiki moja, huwa inatokea mara moja moja.