Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Naingia likizo
naenda kutafuta mahela.. nikirud kila siku natafuta 1.1 point natupia
hta 200,000 niingize 20,000 per day.

hahaha ndugu baharia vipi yamekukuta leo ??? biashara imekua ngum sana na hapo bado game za mataifa ya afrika wiki mbili zijazo
 
Angalizo kesho
Liverpool timu anayopambana nayo ni wazuri sana hivyo nawashauri mpe suluhu au muue kabisa.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Wakuu naomba mnisaidie katika kubet section ya Goals.

Kwa mfano nimechagua 2-3 maana yake ni kuwa magoli yatakuwa jumla mawili hadi 3 au maana yake ni Team A itapata mawili na team B 3? Msaada plz
 
Leo naua vigogo

Man u loose
Southampthon loose
Aston villa loose
Barcelona draw
R. Madrid loose




Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

Ndugu hujakosea sana..,, waue wakubwa tuu hao hawana lolote..
 
Duh Barca, Madrid, South, Qpr wameenda na wengi. Ungewapa wachache tu lose baasi leo ungeamka mwingine
 
Mkuu hizi sites mbona hawana upcoming basket matches.? example za leo hii.

Wanaweka game moja au mbili, muda mchache kabla ya game kuanza, sana sana saa 2 usiku wataweka game za alfajiri.

Jana ziliwekwa game 2, ya Dallas vs Cleveland na ya NY Knicks vs Milwaukee. Na zote zimepatia, refer post niliyoweka nyuma.
 

0757970094
 
Yaaani kuzingua kwa mtandao wa meridian hizi last 6days kumeniokoa sana
Nabet za asubuhi na usiku sana
😊😊😊😊😊😊😊😊
 
tots win
psg win
odds 3.024

ndio biashara mpya niwe nafukuzia timu mbili tu kwa siku
 
Jamani leo nina 50,000
Nampa Totternham, Liver na PSG ikiliwa siji hapa jukwaani kwa wiki nzima
 
Biashara yangu ni 10000 kwa siku.....bhaaaasi..... Jana nimempa feirense na man utd ....7000 nkala 17500......swaafi...... Leo nimeweka 5000 returns 15150 ...ukilipa swaaafi...... Ukila 10000 kwa siku....mwezi mzima ni 300000.......
 
Nina 50 elfu.
Liverpool -shindwa
Tottenham-shindwa

Hama zangu,hama zake mhindi..!!Nishavurugika.
 
Acheni kucheza kamali ni mchezo mchafu. Vitabu vya mungu vinakataza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…