Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kuna option ya atleast kwnye meridian hii ni nzuri kwa wale wenzangu na mie tunaoangushwa na tim 1 au 2 kila siku.. Mfano leo league 2 france kuna game 8 ambazo zote ukiweka 2+ unapata odds 11 lakin ukisema atleast game 6 zitoke fresh ods ni 6.5..

Nadhani hii nitaanza kuutumia maana kama jana ni game moja tu imeniangusha
 
yan kama umeweka game 8 ukisema atleast 6 ina maana game 6 zikitoa vizur umekula..

Mkuu nimejaribu kuchagua game 10 za kikapu afu nikaweka atleast 2 afu nikaweka dau la 1000 ikaja MIN WINNING: 102
MAX WINNING : 4000
Sasa mfano nikapatia game hzohzo mbili (halafu 8 nikakosea ) nitapata sh 102 au 4000 ?
 
Vip una mashaka na team gan hapo mkuu, nisaidie kama nikiweza nitengeneze mwingine

Moreirrense anapigwa na estol au draw hawajaaa historia zao ngumu alafu estol anacheza nyumbani utata hapo.....roho mkononi
 
Hiyo option ipo kwa wapi ndugu coz sijaiona @ rocky city native
 
Moreirrense anapigwa na estol au draw hawajaaa historia zao ngumu alafu estol anacheza nyumbani utata hapo.....roho mkononi

Ngoja nione mwisho wake maana leo nataka mtaji wa kesho tu
 
Mkuu rock city nimekuuliza swali huko juu , naomba unijibu@rock city
 
najilipua ifuatavyo.
Deportivo win
Estoril win
Ajaccio win
Marseille win
Niort win.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…