Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

nisaidieni hapa yupi nimtoe?
MAN CITY WIN
CHELSEA WIN
ARBEDEEN WIN
PORTO WIN
REAL MADRID WIN
RANGERS WIN
 
Wapili nisaidieni pia nimtose nani?
Newport county win
exerter city win
bolton win
tns win
arberdeen win
carsetana win
 
Kama kawaida naendelea kuchimba basket, nimemkosa muhindi kidogo, kesho asubuhi asubuhi namtandika!
NkyaH na wengineo tupeane ushirikiano kwenye Basket pia!

Ila huu mchezo ni mbaya, unakula hafu unaweka yote inaliwa unaanza upya.

Mpira nitarudi baadae!

Basket Ball.jpg
 
View attachment 217456

Mkuu cheza mechi mojamoja kwa basket ama hockey. Uhakika wa kula kila siku upo.
 
nlpokua mza nilikua na bet huku niliko hakuna zile machines. Na voda wanataka mechi moja per betting ambayo hailipi.mi napenda kutandaza mkeka

mkuu mimi nataka niazne betting, sijawahi fanya hii kitu kabla!
kuna vitu gani vya kuzingatia?
Naomba mwongozo wako
cc Rockcity native
 
Last edited by a moderator:
Wakuu... nimewithdraw hela toka juzi... mpaka sasa hazijafika na nawapigia simu hawapokei... inakuwaje hapo??
 
Jamani leo
Valencia
Arsenal
Man U GG
Man city GG & 3+
Chelsea 1 & 3+
Swansea
 
Back
Top Bottom