Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Shake Money, pitia hizi.

Kwamfano kwenye basketball angalie trend za magoli kwa kipinda cha kwanza then unaweza kubashiri over/under.. mara nyingi vipindi vinavyokuwa na magoli mengi ni cha kwanza na nne... So utakuta wameandika labda 150 OU O 1.78 U 2 so hapo unachagua kama ni over points ndo hizo mbili na kama hawatafunga zaidi ya 150 Under ni 1.78.. Hii ni rahisi sana kula kuliko kubashiri matokea kati ya stock city na sunderland

Pitia hii post ya Mzee Going Concern:-

Wazee wenzangu, muwe mnacheza Basketball Live in play, ukiwa mjanja ukosi 50,000 kwa siku.

Fanya hivi.......usiweke mkeka mpaka mechi ifike quarter ya pili 2/4 then chukua matokeo ya timu zote mbili jumlisha na kisha toa the amount of total then dived by 2 utajua uweke kwenye over/under.... Mfano currently points is Over 160 and its 2/4( second quarter) Real Madrid..... 45 Barcelona........ 40 therefore the total points is 85 (45+40) then chukua 160-85= 75 75 means the total points zilizobaki kufika 160, then chukua 75 gawa kwa 2 (75/2)=37.5 hii inamaana kama vipindi viwili vya mwanzo waliweza kufungana points 45 kwa 40 basi its possible vipindi viwili vya mwisho pia wanaweza fungana zaidi ya 37.5 points, ivyo weka Over 160 odd sio chini ya 1.80. mie kila siku nakula 50,000 nalala.... am trying to share some tricks. (other factors remains constant )

Kuongezea; Mfano game ya Miami na OKC, wanaweza wakasema total points ziwe over/under 200.5, ukichoose over inamaana points zikiwa zaidi yaani 201 ndo unashinda, vivyo hivyo kwa under!

Angalizo, usicheze mchezo usioujua vizuri! Pia usiweke kiasi ambacho ukiliwa kitaathiri bajeti yako. Do it for fun, Mhindi haliwi.
 
Last edited by a moderator:
Shake Money, pitia hizi.

Pitia hii post ya Mzee Going Concern:-

Kuongezea; Mfano game ya Miami na OKC, wanaweza wakasema total points ziwe over/under 200.5, ukichoose over inamaana points zikiwa zaidi yaani 201 ndo unashinda, vivyo hivyo kwa under!

Angalizo, usicheze mchezo usioujua vizuri! Pia usiweke kiasi ambacho ukiliwa kitaathiri bajeti yako. Do it for fun, Mhindi haliwi.

Dah.. hawa wakuu Going Concern na NkyaH inaonekana wamebobea sana hapa. asante sana mkuu kwa kunipekulia huu uzi..

Baadae nitawa pm wanifundishe zaidi ili niweze kupata ujanja zaidi.
shukrani.
 
Last edited by a moderator:
mechi ikiwa postponed wakati ulishabet hela wanarudisha au inakuwaje?
 
Wakuu... nimewithdraw hela toka juzi... mpaka sasa hazijafika na nawapigia simu hawapokei... inakuwaje hapo??
Mkuu kama ni meridian sijui vp m mwenyewe toka baada ya game ya Madrid na atletico hawajatuma
 
Kama kawaida naendelea kuchimba basket, nimemkosa muhindi kidogo, kesho asubuhi asubuhi namtandika!
NkyaH na wengineo tupeane ushirikiano kwenye Basket pia!

Ila huu mchezo ni mbaya, unakula hafu unaweka yote inaliwa unaanza upya.

Mpira nitarudi baadae!

View attachment 217456

Mkuu Raimundo jana niliamka na 20 mpaka naenda kulala nilikua na kitu kama 130.. Tamaa nikatie 50 kwa vilaza flani wa tenisi, hao ndio wakanipunguzia faida. Mwendo ni wa Basketball tu sasa mpira nimewaachia wengine. Mimi nikikuta hata mechi ya Congo basketball naweka tu..
 
Inanivutia ngoja wacha niitengee kama buku kumi hv yakujifunzia maana ukipenda vizuri lazima ughalamike
 
Last edited by a moderator:
Inanivutia ngoja wacha niitengee kama buku kumi hv yakujifunzia maana ukipenda vizuri lazima ughalamike

Ukitaka kuusoma mchezo anza kuweka shilling 100 uki'assume hiyo ni buku 10. Then njoo na majibu.. Ushauri bet kwenye over/under kwa Total Points au Quarter Points.. Bear in mind, kabla hujabet angalia kwanza trend ya first quarter.. Mara nyingi kama sio zote First Quarter inakuaga na magoli mengi zaidi ya Second Qarter na Third Quarter inakuwa na magoli machache dhidi ya Fourth Quarter. Pesa bwelele hapo
 
Leo ni hivi
Bolton
Burton
Aberdeen
MK
Brentford
Mancity
Bristol
Bournemouth
Wycombe
Chelsea
 
Chizi nimelogwa tena...ama zake mhindi ama zangu mimi......1500 kwa milion 2.9
 
Attachments

  • 1420895087366.jpg
    1420895087366.jpg
    75.2 KB · Views: 169
Back
Top Bottom