Wazee wenzangu nimerudi tena football!
Leo natambaa na hii:-
View attachment 219403
Ikibuma narudi home NBA
Odd ni 8.8
Twakutakia mema upate na wewe leo
Daaah Derby huyo anatuua.
***** Derby. Mapema yote hii unatuua
Derby katuchukuaaaajeeeeee wanawane.....
haya wazee mi nshajilipua. man u,chelsea,liverpool wote nimewapa wapate goli mbili. nimetia laki inakuja 584500. tuombeane wakuu
haya wazee mi nshajilipua. man u,chelsea,liverpool wote nimewapa wapate goli mbili. nimetia laki inakuja 584500. tuombeane wakuu
haya sasa nani yupo sinza tule bia mpaka pakuche?
man utd .bournemouth na chelsea M-BET....nkaweka 20000 imekuja 73500..... kiroho safi..... kesho waniingizie pesa yangu