Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

MWINGINE HUU HAPA.

Manchester united

Chelsea

Valencia

Porto

Roma

Olympique

Villareal

Vitoria

AFC Bournemouth

Wycombe Wonderers

Real sociedad

WADAU PITENI TENA HAPA.....mhindi kesho anatoa ela
 
KESHO HAPA.

Valencia

Vitoria Guimares

Porto

Wolverhampton

Norwich

Watford

Middleborough

Sochaux

Barrow

Fylde

Guisely

Swendon

Shrewsbury town

Manchester united

Chelsea

HAPA CHAMBUA CHAMBUA UNAVYOWEZA LAKINI HIZI ZOTE ZITASHINDA KESHO.
 
wazee wa mikeka ni odds zipi katika Premier Betting (kwa mhindi) zinazotoa cap suluhu ( handcap draw). naomba kama kuna mtaalum anayejua hayo maujanja amwage sumu hapa ili kesho nikamkalishe mhindi.
 
Kaka Waafrika hua hawafungani, mechi kibai hua ni 1st half draw, na hata ushindi hua ni mwembamba,ndo Maana GG inakua na point nyingi ili uzufuate uliwe. Mtazamo tu lakini

ni kweli kabisa mkuu. hapa hata mimi nimeshtuka...matimu ya kiafrika hayatabiriki, mimi siyabetii hata kidogo.
 
MWINGINE HUU HAPA.

Manchester united

Chelsea

Valencia

Porto

Roma

Olympique

Villareal

Vitoria

AFC Bournemouth

Wycombe Wonderers

Real sociedad

WADAU PITENI TENA HAPA.....mhindi kesho anatoa ela

mkuu hapa kwa Olympique bado sijawa comfortable napo.
 
kesho IPSWICH WIN 2.25
BRADFORD WIN 2.63
WOLVES WIN 1.53
MIDDESBOROUGH WIN 1.64
hii ni sure win my instincts
 
Zenit st petersburg kampiga malia 18-0 ni hatareeeeeee!!!!!!!!!!1
 
Ndugu QPR points zake zote 19 za ligi kachukulia nyumbani, tutegemee mechi kali sana katika hii game..,,

Game ya QPR vs Man u inaweza kuwa tite sana, bora kuicheza magoli kuwa ni 3+ au kumcheza QPR Double Chance yaan ashinde au atoke suluhu. Huyu QPR hapotezi kirahisi akiwa home ingawa hajapata hata point 1 akiwa away kapgwa games zoooote.
kweli gemu ya qpr inaweza kuwa ngumu, lakini history inasema qpr hajawi mfunga manyuu toka dunia ianze.weka pembeni historia pia manyuu nao wako in desperate ya kuhitaji ushindi kumbuka gemu ya mwisho walifungwa na southampton. pamoja na ugumu wa match nampa nafasi man utd.
 
Derby v Nottm Forest= Derby WIN
Rotherham v Bournemouth = Bournemouth WIN
Middlesbrough v Huddersfield = M'brough WIN
Shrewsbury v Hatlepool = Shrewsbury WIN
Barrow v Colwyn Bay = Barrow WIN
Cliftonville v Warrenpoint Town= Cliftonville WIN
Hibernian v Cowdenbeath = Hibernian WIN
Aberdeen v Dundee = Aberdeen WIN
Maccabi Tel Viv v Hapoel Akko = Maccabi Tel Aviv WIN

Tuchambue teams za kutosha wadau, hadi ikifika Jmosi tupate hata teams 6 za uhakika hapa jamvini then mtu unaweza kutengeneza na mikeka yako mingine but huu tutakaoupitisha nao unaufyatua kama ulivyo.
Kamari ni ngumu sana lazima tuunganishe NGUVU

Derby county nakuunga mkono hapo, Nottigham forest sijui wana shida gani kwa sasa wanafungwa sana hawajashinda gemu karibia 5 zilizopita.

shrewbury safi pia, wakiwa home ni wabishi sana, hao hartpool ni wachovu hawana uwezo wa kuwazuia shwerebury . shwerebury atataka arudi kileleni na lengo lake ni kupanda daraja kwa msimu mmoja baada ya mwaka jana kushuka daraja toka league one.

aberdeen yupo kwenye form nzuri kabisa na sasa akiongoza ligi, atataka aendelee kushinda walau mwaka huu achukue ubingwa, ampiku celtic amabye mwaka huu hayuko kwenye form nzuri.
 
kesho IPSWICH WIN 2.25
BRADFORD WIN 2.63
WOLVES WIN 1.53
MIDDESBOROUGH WIN 1.64
hii ni sure win my instincts

sure with my insticts,

Aberdeen, Bounath, chelsea, lyon, porto, Derby county, Shwrebury

chelsea wapo kamili bila ya pungufu ya mchezaji hata mmoja aliekwenda afcon, watataka waendelee kushinda ili wasikaribiwe na man city, swansea bila Bony manake uwezekano wa kupata goal ni mdogo sana.

Bournath yupo kwenye form nzuri na gemu iliyopita alifungwa na Norwich city kwa gemu alliyotawala kila ila ndio mpira, anaongoza ligi wanalingana point na Derby county akiteleza tu anaweza jikuta yupo 3 au wa 4 kwenye msimamo wa ligi, Rotherdam ni timu iliyopanda daraja msimu mliopita bado wana struggle kushindana na timu zoefu za championship. na gemu ya juzi tu ya FA ni zilikutanahizi timu na matoke yalikuwa rotherdam 1-6 Bournath. Hivyo ninampa asilimia zote Bournath kushidna hii gemu

Lyon mwaka huu amekuja vizuri anataka mwakani naye ashiriki champions league au achukue ubingwa wa ufaransa, Lens haweiz fua dafu hapa na gemu ya juzi tu France cup Lens alibamizwa 0-3 .na Lyon. Nampa asilimia zote Lyon.
 
Bordeaux draw firs half live in play au bordèaux win in Ft.
Veracruz draw in Ft. Aù cheza x/x ht/ft
 
kwa maelezo yako mkuu napanga mkeka natia 30 kwa hizo teams
 
Nilijaribu kubet multibet... nimekula tsh 6 daah... ile ikoje ivi?? Niliweka timu 14 zishinde 8
 
Kama una moyo mwepesi usiguse huu mkeka: cordoba draw,laval draw,chorteaux draw .LIVE IN PLAY
 
MWINGINE HUU HAPA.

Manchester united

Chelsea

Valencia

Porto

Roma

Olympique

Villareal

Vitoria

AFC Bournemouth

Wycombe Wonderers

Real sociedad

WADAU PITENI TENA HAPA.....mhindi kesho anatoa ela

Sure bet hii hapa kaka

Valencia

Hibernian

Bournemouth

Derby

Maccabi Tel Aviv

Aberdeen

Cliftonville

Shrewsbury

Middlesbrough

Vitoria Guimaraes

Fylde

Salernitana

Stineriga, MANGUNGO njooni mmwage NONDO hapa. Me naamini namba ya ushindi itatoka katika teams hizi.
 
Back
Top Bottom