Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wazee wenzangu nimerudi tena football!

Leo natambaa na hii:-

Bet slip.jpg

Ikibuma narudi home NBA

Odd ni 8.8
 
Wale wa m-bet... nikitaka kujiunga... ile sehemu ya document namba naweka nini wakati najiregister???
 
man utd .bournemouth na chelsea M-BET....nkaweka 20000 imekuja 73500..... kiroho safi..... kesho waniingizie pesa yangu
 
Shrewsbury✅
AfC bourne✅
Middesborough✅
Wolves✅
Norwich✅
Lyon✅

Nimebutua huoo hapoo...
 
Leo siku mbaya san kwa Muhindi asee, mwnyewe Derby kaniua mapema skukata tamaa nikatia mkeka mwingine Mbet nshawaliza, hela ya Club leo haikosi, Hahaha. Siku nzuri sana hii.
 
Back
Top Bottom