Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Atleast jana nimemuua mhindi japo sio nyingi sana.

Lille won
Saints won
Sevilla won
Spurs won
Panathnaikos won
Panaitolikos won
Parma won
Monaco won
Braga won
Msritimo won

Point 45 hizi nikatia buku.
Mtaji wa Jumamosi huoo.
 
Kuna wajinga wanaitwa Golden State Warriors kule NBA.. Kama kuna mjinga atakayewasimamisha mwaka huu sijui.. Jamaa ni hatari sana.. Huwa hawaniangushi hata siku moja. Asubuhi hii washanipa pesa nzuri tu kwa Miami
 
Kuna wajinga wanaitwa Golden State Warriors kule NBA.. Kama kuna mjinga atakayewasimamisha mwaka huu sijui.. Jamaa ni hatari sana.. Huwa hawaniangushi hata siku moja. Asubuhi hii washanipa pesa nzuri tu kwa Miami

Game moja ya ukweli (sure bet), weka mzigo mrefu, siku inapita. Mimi san antonio spurs wamenipa pesa ndefu first half ashinde. Biashara nimefunga mpaka kesho tena.
 
Sitaki kuuliza kichwa hii ndiyo ya leo
 

Attachments

  • 1421302232152.jpg
    1421302232152.jpg
    33.7 KB · Views: 145
Game moja ya ukweli (sure bet), weka mzigo mrefu, siku inapita. Mimi san antonio spurs wamenipa pesa ndefu first half ashinde. Biashara nimefunga mpaka kesho tena.

Niliweka Alarm niamke saa tisa nianze na spurs bahati mbaya nikapitiwa.. Ila Denver na Dallas pia wamenipa pesa na hawa Warriors wakamaliza kabisa asubuhi yangu. Leo naingia mzigoni nikiwa nakenewa tu
 
r.madrid over 2.5
schalke 04 more goals at second half
platanias draw half time
 
nashukuru sana jana. BRAGA,SEVILLA NA MONACO NILIFUMBA MACHO KWA ISHIRINI ASUBUHI NIMELAMBA 65,000.SIO MBAYA.
 
Kila heri wadau naombea mikeka ipumue nchi nzima mhindi afirisike..........
 
Derby v Nottm Forest= Derby WIN
Rotherham v Bournemouth = Bournemouth WIN
Middlesbrough v Huddersfield = M'brough WIN
Shrewsbury v Hatlepool = Shrewsbury WIN
Barrow v Colwyn Bay = Barrow WIN
Cliftonville v Warrenpoint Town= Cliftonville WIN
Hibernian v Cowdenbeath = Hibernian WIN
Aberdeen v Dundee = Aberdeen WIN
Maccabi Tel Viv v Hapoel Akko = Maccabi Tel Aviv WIN

Tuchambue teams za kutosha wadau, hadi ikifika Jmosi tupate hata teams 6 za uhakika hapa jamvini then mtu unaweza kutengeneza na mikeka yako mingine but huu tutakaoupitisha nao unaufyatua kama ulivyo.
Kamari ni ngumu sana lazima tuunganishe NGUVU

Hapo Derby, bourneuth na Aberdeen.
 
Tunashindwa kweli tuunde listi ya kuanzia watu 12 na kuendelea...kila mmoja atafute odds kuanzia 1.5 kila wikiendi tufikishe odds 100 nakuendelea...
 
Wazee wenzangu kuna site hapa unaweza kuangalia game live bila chenga!

Mechi nyingi sana na za kila mchezo.

Watch Milwaukee Bucks vs New York Knicks Live Stream Online

Mimi hapa nimewapiga under Milwaukee Bucks vs Knicks, naendelea kucheki game kwa raha zangu wanavyosua sua kufungana.

Nimekosa courage, nilikuwa nimepanga kuwapiga under kila quarter, yaani unapiga ya kwanza, mtaji ukiongezeka unapiga ya pili mpaka zote nne umepata mtaji mara nne!

Nimeogopa ila naona ingelipa, make wamepiga under 50 quarter zotee!

Tukutane game ya Lakers vs Cleveland! Hii ina dalili za under pia, kama vipi unatupia mzigo kwenye Lakers <98.5, on consideration kwamba Kobe kapunguziwa dakika za kucheza, wale wenzake sio shooters wazuri, James pia amerudi na anaweza kucheza defence vizuri kiasi cha kulimit score za Lakers.
 
Mechi za jana kuamkia leo nimejilipua wakuu,nimetupia laki 1,nikabet timu 3,nikasema
Sweeden vs Ivory Coast,Sweeden atafunga goli,matokeo sweeden 2 na Ivory Coast 0.
Juventus vs Roma,nilisema Juventus anashinda,matokeo Juventus 6 verona 1
Elche vs Barcelona nilisema barcelona atashinda,matokeo Elche 0 Barcelona 4.

kwahiyo faida laki na elfu thelathini.

ila kutabiria flani atashinda ni risky sana hata kama ni timu kubwa,heri magoli au kusema flani atakuwa na magoli mengi kwenye moja ya half time mojawapo
 
Sitaki kuuliza kichwa hii ndiyo ya leo

mkuu umebet kama mimi,hongera kubahatika,ila sikuweka iran niliweka mechi ya kirafiki sweeden vs ivory coast nikasema sweeden watafunga goli,nimeweka 100,000 nimebahatika kupata 230,000
 
Back
Top Bottom